Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Habari za waislamu hasa wa jamii ya kiarabu tuziwache pembeni kwanzo,kwani matatizo yao ni mengine kabisa.
Ama kwa wakristo duniani basi wangekuwa wanajitambua vizuri basi wangemuiga katibu mkuu wa UN.
Katibu mkuu huyo alizaliwa mwaka 1949 na ni raia wa Ureno akiwa ni mfuasi wa dini ya kikristo madhehebu ya asili.
Tangu ashike madaraka hayo mwaka 2017 ameumbana na mikas mingi ya dunia ambayo amekuwa akijaribu kuyasuluhisha na mengi yamefanikiwa.
Matizo makubwa zaidi alilyoyashuhudia ni vita kati ya Urusi na Ukraine pamoja na vile vya Gaza..Hata hivyo vita vya Gaza ndivyo vimemuhuzunisha zaidi na tangu vianze mwaka 2023 amekuwa akitoa matamshi makali ya kukemea,
Kutokan na msimamo wake huo wa kishujaa amekuwa akipata vitisho vingi kutoka kwa Israel.
Cha kushangaza amekuw na moyo mgumu wa kutishika na vitisho hivyo.Kila anapoona maangamizi ya wapalestina yamekuwa makubwa zaidi anasema na kuonya kwa sauti ile ile.
Waanzishaji wakubwa wa vita kwa miaka mingi ni mayahudi ambao wamekuwa wakizichochea nchi chini zipigane na nchi nyengine au wapigane wenyewe kwa wenyewe huku wakiungwa mkono na Marekani.
Hapo jana amesema sasa Gaza imekuwa eneo la machinjio ya binadamu na si uwanja wa vita tena.