sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
CHAINi baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba za wakristo waliokuwa wamelala, kulipozuka tafrani waliotoka waliuawa na waliobaki ndani waliungua kwa moto
View attachment 2854976
View attachment 2854975
Hapana siyo chai. Waislam wanawaua sana wakristo wa Nigeria hasahawa magaidi fulani na Hausa. Katika kabila la Hausa kuna asilimia 20 ya wakristo uzao wa wale waliokataa kusilim baada ya fulani kuhamia kaskazini mwa Nigeria kutoka Guinea na Niger.CHAI
Nasikia hao kina Fulani ndio chanzo cha mauaji zaidi, huko Hausa wamejiingiza ili wawe sehemu ya kabila kubwa zaidi NigeriaHapana siyo chai. Waislam wanawaua sana wakristo wa Nigeria hasa fulani na Hausa. Katika kabila la Hausa kuna asilimia 20 ya wakristo uzi wa wale waliokataa kusilim baada ya fulani kuhamia kaskazini mwa Nigeria kutoka Guinea na Niger.
Wengi wanapatikana Kano na Jo's wanauwawa kila siku na haya magaidi. Wengi wamesukumwa hadi central Nigeria.
Cha kushangaza sasa hivi Yesu anawafundisha adabu. Licha ya kuwaua wakristo wamebana hata kuwaua waislam wenzao.
Hausa wamekuwa waislam juzi tu 200 years ago baada ya Fulani kuvamia northern Nigeria.Nasikia hao kina Fulani ndio chanzo cha mauaji zaidi, huko Hausa wamejiingiza ili wawe sehemu ya kabila kubwa zaidi Nigeria
Sio Chai bibie Hao boko haram wana chuki kubwa kwa wakristo wameteketeza kijiji kizima kosa ni kusheherekea ChristmasCHAI
Hiyo nchi kuna shida zaidi ya diniNi baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
source >> https://edition.cnn.com/2023/12/26/africa/nigeria-plateau-killings-intl/index.html
Alijazira wanaandika kuwa chanzo mabadiliko ya hali ya hewa.
Aljazira chombo cha habari cha magaidi.
🤣 umeamua kumquote naftali, hawa wanatofauti gani kina naftali
Shida ni naftali au taarifa?🤣 umeamua kumquote naftali, hawa wanatofauti gani kina naftali
Hiyo nigeria mikristo ya hapo ni mi mbwa ama? Wanashindwa kuwachinja hao kenge waache usenge kama kule Central Africa? Pelekea moto waone kama wataendelea na huu ujinga. Mbona wasilam wa Senegal sio wapumbavu hivyo? Hilo kabila la Fulani ni takataka wanastahili kuuliwa wote mana ndio wasilam magaidi hapo naija.
How can I believe in this world full of propaganda about Islamic religion?
Taarifa sina pingamizi nayo maana toka juzi naifatilia, ila Kwenye hii case kumquote mtu kama naftali ni shida sana, au hujasikia malalamiko ya maaskofu kule bethlehem?Shida ni naftali au taarifa?