Inapuuzwa kwasababu hata sisi waafrika wenyewe tunaipuuza kwa kichaka cha dini fulani
Sudan mpaka leo wanauana lakini hakuna anaekemea kwakuwa anaeuliwa ni mweusi ingekuwa ni arab kelele zingekuwa nyingi hata hapo DRC jirani kabisa
Tulaumu media na sisi waafrica wenyewe kama ulivosema. Maana hata uko ughaibuni ni media na watu binafsi wanaopiga kelele ndo watu tuna habarika, maana sisi ni fata upepo tu