NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.
Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.
Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
Pumba at its best.NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.
Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.
Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.
Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.
Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
Kibaka hafai kuwa kiongozi wa Chadema wacha Raisi wa Tanzania ,yaani sasa mnafanya masihala na kiti cha Uraisi ,nyie vipi ? Ivi mna akili timamu ? Au ndio mnajipendekeza ? Ukweli usemwe uanikwe ili tupate kiongozi mtenda wema ,sio mdanganyifu na mwepesi kwa mambo ya anasa ?Wewe ni mwehu
Brotherly Advise: Mwiba, junius, Kadogoo, Kanda2, Tumaini and the like; Dr Slaa is not your enemy; and he loves CUF; why you take on him as if you are threatened by him?? Our threat is CCM that is all our target. I would be happy if CUF becomes a winner! Leave this innocent man (Dr Slaa) live in peace! Overall he has declared that he has a mature woman who was abondoned by a stud - mahimbo. remember one thing: JK, and Alhadji Mwinyi did the same, but the difference is; we are not talking about!! Is time for you to growup and behave!NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.
Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.
Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
wewe mwiba, unachokoza. mimi simo huko? umeona wapi lipumba anakubalika? sema jk bana
Mimi ningekuona una akili kama ungekuwa mwiba kwa mafisadi walioifikisha kwenye hali mbaya Tanzania lakini umewekeza nguvu zako kwa mambo yasiyo na msingi,inaonekana upo kwenye posho za kina makamba
Kibaka atakuwa zaidi ya Mwinyi au Kikwete?? maana hao wawili wamechukua underage; 18 yers old while they are already at their late 50s and 60s. Acha utumwa wa wivu; you cretins!!Kibaka hafai kuwa kiongozi wa Chadema wacha Raisi wa Tanzania ,yaani sasa mnafanya masihala na kiti cha Uraisi ,nyie vipi ? Ivi mna akili timamu ? Au ndio mnajipendekeza ? Ukweli usemwe uanikwe ili tupate kiongozi mtenda wema ,sio mdanganyifu na mwepesi kwa mambo ya anasa ?