Elections 2010 Wakristu na Waislamu kuiunga mkono CUF na kuipa kura za ndio ni baada...!

Elections 2010 Wakristu na Waislamu kuiunga mkono CUF na kuipa kura za ndio ni baada...!

NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.

Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.

Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
Kwa hiyo wameona bora wampe, kura Ga*?
 
Tafakari!

Nimetafakari sana na nimeona udini ni uslam ila kwa upande wa dini nyingine hauwi udini inabidi watanzania wawachague wakristo kwa wingi ili wapitishe sheria waislam wasigombee nyadhifa maana kugombea kwao ni udini au unasemaje JOBA?
 
Na padri kuutaka urais unalitolea mchango gani?

Kama umefikiri na kutafakari vizuri, Slaa anagombea urais kwakuwa ni Padre? Je ametumwa na Wakatoliki kugombea na kuwawakilisha? Its like you have no language. Just like your ID, it's all chaotic!
 
Kama umefikiri na kutafakari vizuri, Slaa anagombea urais kwakuwa ni Padre? Je ametumwa na Wakatoliki kugombea na kuwawakilisha? Its like you have no language. Just like your ID, it's all chaotic!

Nimekupata kaka!
 
Kama umefikiri na kutafakari vizuri, Slaa anagombea urais kwakuwa ni Padre? Je ametumwa na Wakatoliki kugombea na kuwawakilisha? Its like you have no language. Just like your ID, it's all chaotic!

Ni ukweli usiopingika muislamu na uislam ndio udini na tuupige vita utokomee au sio?
 
na padri kuutaka urais unalitolea mchango gani?

sokomoko; sasa tumekupata, kumbe uko against dr. Slaa kwasababu za udiniiiiiiiiiiiii!!!!!!

Hv tukiamua kupiga kuara kwa mtazamo wako (wa udini a.k.a uapdri na alhaj) waukweli wako atashinda?????

Sasa unaanza kunikumbusha orodha niliyoiona kwenye thread fulani ha JF
 
sokomoko; sasa tumekupata, kumbe uko against dr. Slaa kwasababu za udiniiiiiiiiiiiii!!!!!!

Hv tukiamua kupiga kuara kwa mtazamo wako (wa udini a.k.a uapdri na alhaj) waukweli wako atashinda?????

Sasa unaanza kunikumbusha orodha niliyoiona kwenye thread fulani ha JF

mimi simpingi dr slaa nimeuliza tu namfagilia sana ila nakerwa kwa jinsi swala la uislam linavyoongelewa nimekuwa nikisoma sehemu mbalimbali sio hapa JF tu mpaka kwenye majarida ya nje inaonekana uslamu ni udini ila ufashisti na mambo mengine na dini nyingine sio udini mazuri ya ndugu zetu waislam hauelezwi nimejaribu kujiuliza kwanini nashindwa kupata jibu! Swali dogo mauaji ya kimbari rwanda wananchi wangapi waliuwawa makanisani? na wakristo wangapi walisalimika misikiti? someni widely mjue ubaya na uzuri wa watu sio kulishwa maneno na kuyachukulia hivyo hivyo!
 
wewe una matatizo ya akili, unaongea vitu ambavyo havipo.
 
Kuanzia sasa wale wanaomtetea Slaa kwa kosa alilotenda na yeye Slaa kukiri kuwa eti hakujua kuwa ni mke wa mtu ,basi watu hao watakuwa wanakasoro katika akili zao kwa lugha ingine watakuwa ni mataahira ,Mnajua kuwa kuna uenda wazimu wa aina nyingi sana ,naq huu wa kumtetea Slaa mmojawapo , hivi mtu na akili zako unawezaje kuhalalisha kitendo cha Slaa ? Ivi uyo Mungu mnaemfuata naeanalionaje hili ? Inawezekana humo Chadema wamo watu hawakubaliani na ndio tukaona kuwa wengine hawana furaha , wanajua kitendo cha Slaa kinawadhalilisha na kuwafadhaisha na kinawaletea aibu kubwa sana.

Kama wewe ni Mkiristu wa kweli au ni Muislamu wa kweli au mpenda haki basi haifai kusema au kumuona Slaa ni kiongozi bora katika jamii ,ukweli wa hapa ni kumuepuka tapeli huyu.Binadamu alie timamu hawezi kabisa kuhalalisha kitendo cha Slaa.

Ni kweli Slaa amekuwa mstari wa mbele na shujaa asietetereka katika kuona na kuitetea hali ya uongozi Tz ,vile vile katika kufichua maovu na machafu ya uongozi wa ccm ,namuunga mkono na nilikuwa nae pamoja ,ila kwa kitendo cha ubakaji na kuendelea kutesa nimemuona ni mtu hatari alievaa ngozi ya kondoo ,ni hatari katika jamii na hafai kupewa madaraka ya aina yeyote.Hii ni rangi mbaya iliyotokezwa na Slaa.
 
Mkandara said:
Hivi huyo Lipumba ana mke?

Mkandara,

..mwaka 1995, Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba alikuwa na kashfa ya kuvunja ndoa ya mwanamama wa kichagga anaiyeitwa Georgina.

..umepita muda mrefu sasa sijui kama Prof amesharekebisha masuala yake ya ndoa. suala la ndoa yenye mgogoro na mwanamke Mkristo, ndilo lilosababisha Waislamu wakamtupa mkono Prof ktk uchaguzi wa 1995.

..ndugu zangu Wamachinga waliokuwa wakimuunga mkono Mrema, nao walimtupa mkono dakika za mwisho, kum-support Mmachinga mwenzao Benjamin Nkapa. hiyo ilitokea baada ya kampeni kali za kushambulia kabila la Mrema.

..CCM siko zote wamekuwa wakitumia hii karata ya UDINI na UKABILA kuwayumbisha wa-Tanzania.
 
Dk. Slaa amjibu anayedai amempora mke
Na Hellen Mwango
2nd October 2010
Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), DK. Wilbroad Slaa

Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), DK. Wilbroad Slaa, amekana kuwa na mahusiano ya kingono na kwamba hajawahi kumtambulisha kwenye halaiki Josephine Mushumbusi, anayedaiwa kuwa mke wa ndoa wa Aminiel Mahimbo, kwamba ni mke wake.

Dk. Slaa, kupitia wakili wake Mabere Marando, amekanusha madai hayo ya fidia ya Sh. bilioni moja, anazodaiwa na Mahimbo kwa tuhuma za kuzini na mke wake.
Akijibu hoja za mlalamikaji dhidi ya kesi ya madai namba 122 ya mwaka huu iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kupitia hati iliyowasilishwa mahakamani hapo Septemba 28, mwaka huu, Dk. Slaa amemtaka mlalamikaji kuwasilisha ushahidi utakaothibitisha tuhuma hizo.
Pia, mdaiwa huyo kupitia hati hiyo, amekanusha kuwa pamoja na mke huyo aliyetajwa katika hati ya madai ya tuhuma dhidi yake.
Dk. Slaa amedai kuwa asingeweza kujua kwa hali ya kawaida kwamba mwanamke huyo (Mushumbusi) alikuwa ameolewa na kwamba hakuwahi kumwambia kuwa aliwahi kuolewa.
Hati hiyo, inaeleza kuwa Dk. Slaa alisikia kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa ya mdai baada ya kusoma nakala ya kumbukumbu mbalimbali za ndoa hiyo zilizokuwa zimeambatanishwa na hati ya madai ya msingi (ambayo nakala yake alipatiwa) zikieleza kwamba Mushumbusi aliolewa na mdai.
Kutokana na hilo, alidai kuwa mdai amejidhalilisha mwenyewe, kujishusha kwa kutangaza hadithi ya kuhusu ndoa yake kwenye vyombo vya habari nchini.
Dk. Slaa aliendelea kujibu kupitia hati hiyo, kwamba mlalamikaji amejidhalilisha alipokubali kulipwa na chama cha siasa ili achapishe hadithi hiyo ikiwa ni pamoja na kukubali kwenda kuishi na kiongozi mwanamke mwenye wadhifa katika chama hicho cha siasa (chama hicho hakikutajwa kwenye hati hiyo).
Katika madai ya msingi, Mahimbo anadai kunyang'anywa mkewe wa ndoa Mushumbusi na Dk. Slaa na kutokana na hilo, anadai fidia ya Sh. milioni 200 kutokana na hasara alizopata baada ya mdaiwa huyo kumtangaza mkewe wa Ndoa Josephine kuwa mchumba wake ambapo pia anadai Sh. milioni 800 ikiwa ni hasara ya jumla aliyopata.
Mdai huyo anadai kuwa, Septemba 7, 2002 alifunga ndoa na mwanamke huyo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ushirika wa Kijitonyama, Dar es Salaam na kuishi naye maeneo mbalimbali likiwemo Kimara, Baruti, Dar es Salaam.


*Hivi madai ni kutangaza mchumba na sio kusema Slaa alitangaza kama mkewe ,hapa Slaa anajaribu kudanganya kwa kusema kashitakiwa kwa kusema kuwa alitangaza kuwa ni mkewe.*
 
Hivi huyo Lipumba ana mke?

NDIO LIPUMBA ANAMKE WA NDOA SIO WA KUIBA AU WA KUAZIMA!!!

tatizo hapa sio waislamu au wakiristo ila ni maadili na utu wamtu!!! (moral and values) kama dr.slaa anazunguka ktk kampeni na mke wa mtu na mwenye mke kashafungua kesi mahakamani na slaa mwenyewe kakiri kuwa hakujuwa kama ni mke wamtu!! Sasa si amrudishe mke wa mtu? Naalipe fidia kwa muhusika ili yaishe? Na yeye aendelee na kampeni baada ya kutuomba radhi wananchi?

kama ataomba radhi basi ni haki yetu sisi binaadamu kumsamehe na kama anahitaji mke mbona wanaake wako wengu tena wazuri kuliko huyo josephina mushumbusi?

sasa wana chadema imebaki siku 28 tu tuingie uchaguzini sasa munachotetea ni nini? Yaani dr. Slaa aendelee kupiga kampeni huku analala na mke wa mtu!!! Hivi nyinyi hamjawahi kuwa na wake? Ukisikia tu mke wako amelala na mume mwingine siku moja tu, unaweza kujiua kama unampenda!! Sasa ikiwa anazunguka nae kila kona na kutangazia nchi nzima jamani eee huyu ndie mamsap wangu eee au first lady mtarajiwa eee!!! Unadhani wewe ungefanya nini!!!
 
Kadogoo,

..Prof.Lipumba ameachana na Georgina? je, amerekebisha utata uliokuwepo mwaka 1995 ktk mahusiano yao?
 
NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.

Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa mbalimbali huku akijinadi bila ya aibu ,walokole wa dini mbalimbali wameonelea ni bora kumuunga mkono mgombea wa CUF kuliko kumuunga mkono Dr SLaa kwani huko ni sawa na kuikumbatia dhambi aliyotenda.

Ebrahim ambae anagombea kwa mara ingine amepewa nafasi kubwa ya kuibwaga CCM baada ya viashiria kuonyesha kuwa kura nyingi zitaelekezwa kwake kuliko kupelekwa CCM au Chadema.
Hoja zako siyo za kukokotwa mkuu, naamini unamaanisha unachokisema. ila naamini ipo clear kwamba propaganda zinafanyika kuipigia debe CUF kuliko hata ccm ili kupunguza makali ya Slaa.
Kuhusu masuala ya kupora mke na nini sijui hayo mwachie huyo mahimbo na mahakama maana ipo mahakamani. Naamini wewe ni mwanachama wa infidelity na unapaswa kuwatetea wanachama wenzako.

Kuhusu Lipumba mimi naona hafai kwa sababu wakati umempiga chenga, alipaswa kuwa mshauri wa demokrasia na uchumi kwani aliyoyafanya ktk uchaguzi mkuu wa CUF tunayakumbuka na jinsi ambavyo kwa miaka yote hii anasaka urais bila kupumzika ni dalili ya kuhodhi madaraka. His he all good na hawakumuandaamwingine wa kumpendekeza badala yake? ndo maana nasema kwamba Lipumba na Seif tunawajua kama mawakala wa CCm upinzanini. Tena wanatumika na TISS big time
 
Sokomoko,

..katika umri ule Prof.Lipumba hana mke?!!

..sasa hii itazusha maswali mengi mno, na kusambaratisha mjadala wetu.

..naona bora tujadili sera za CUF na ahadi anazotoa Prof.Lipumba.
 
Back
Top Bottom