Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

Tatizo tulilonalo waumini wengi ni kuwa tunaomba tu pale tunapopitia hali fulani na sio utaratibu wetu kuomba hata tukiwa kwenye hali ya kawaida.

Si unaamini katika ukristu? Kwa waaminio Mungu huwa hachelewi wala hawahi kujibu maombi yako, hujibu kwa wakati sahihi. Uo wakati sahihi hatujui ni lini na saa ngapi kwahiyo inahitaji uvumilivu kwa unalolitegemea. Zingatia kwa waaminio.
 
Inabidi ubadili mtazamo wako kwanza juu ya Mungu. Uhai tu huo ulionao ni sababu ya kumshukuru Mungu na kumpa sifa hivyo MAOMBI yako ya base sana katika kumshukuru Mungu na kumpa sifa kwa ukuu wake. Kwa sababu unaweza kukesha kuomba utajiri na neema kedekede kumbe Mungu ameshakuchungulia akaona kwa mafanikio hayo unayotaka ndipo kiburi chako kitaanzia ni mwisho kupotelea kwenye moto wa jehanamu.
Sali kwa kusema asante Yesu kwa ili na lile, fanya ungamo la dhambi na jiepushe kutenda maovu, then hata kama una kipato kidogo usiache kutembea maskini, wagonjwa, yatima na wafungwa ili kuwapa sadaka yako na neno la faraja kwao.
Nakuhakikishia utapata hitaji la moyo wako.
 
Kuna siri katika maombi, zipo intelegent name ambazo ni lazima zitumike katika maombi,
Mf. Iesu, jehovah, eloha, Elohim El shaddai, bila kuacha malaika wakuu, aither wasaidizi, kila ombi huwa na intelegent wake (siri fichwa za maombi) ili maombi yawe na nguvu zaidi hutupasa kufunga walau kwa siku 1-3.
 
Watakwambia huna imani
Sasa kwani uwongo 🤣🤣🤣🤣
Kuleta tuu huu uzi tayari inaonesha hana imani.
"Faith is the assured expectation of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld"

so ukiwa na imani huwezi uliza hicho alichouliza mtoa mada
 
Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alafajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna.

Tusaidiane wakuu.
Tàtizo unaomba kama vile uko dukani unachagua nguo za sikukuu. Nataka ile pale na ile pale na bikini nk nk. Ukifumbua macho Mungu hajakupa.
Kwa maombi hayo hata ujinyonge unaishia jehanam tuu.
 
Sasa kwani uwongo 🤣🤣🤣🤣
Kuleta tuu huu uzi tayari inaonesha hana imani.
"Faith is the assured expectation of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld"

so ukiwa na imani huwezi uliza hicho alichouliza mtoa mada
Mzee wa mbususu kumbe na vifungu vya neno umejaaliwa. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom