Wakubwa kuna janga..

Wakubwa kuna janga..

YATIMA WA TCU

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
5
nimechaguliwa bs in geoinformatics aridhi lakini ndoto zangu ilikuwa kusoma petroliamu..tatizo nikwamba nimepata diploma ya petroliam sasa na kwama nisaidien niende wapi na nikipi kitanilipa zaidi nikiingia katika soko la ajira.jf ni sehemu ya msaada sana kwahiyo naombeni mawazo yenu
 
Ushawahi kufikiria kabla
""niwatu wangapi wanamaliza chuo kila mwaka ktk kozi ambayo ilikuwa ni ndoto yako na kama ni wengi je mpaka wewe ufikie chuo upate degree ni watu wangapi watakuwa Wapo tayari na taaluma hiyo....???""
jaribu kujiuliza maswali hayo alafu kisha ndipo utakuja kwenye ukweli kwamba, kujua kuwa kitu fulani kuwa kina lipa au hakilipi ni mpaka uwe tayari unacho....!!
pia usisahau utamu wa kitu ni kubobea ndipo utaona raha yake.....!!!
yaani kwa mfano kama unataka kuwa mwanajeshi Basi uwe ni MEJA au GENERAL ndipo utona raha ya kuwa mjeshi but ukiwa KURUTA Nipo utakapo yaona machungu ya jeshi kwani lazima ujute...!!!
hivyo linganisha mfano huo na hiyo issue yako kisha utapta jawabu sahihi kabisa....!!!
NAKUTAKIA KILA LA KHERI NA USIKU MWEMA....!!!!
 
nashukuru kwa mchango wako wa mawazo..bado naitaji maoni na mawazo yawatu wengine ili badae nifanye maamuzi sahihi
 
nimechaguliwa bs in geoinformatics aridhi lakini ndoto zangu ilikuwa kusoma petroliamu..tatizo nikwamba nimepata diploma ya petroliam sasa na kwama nisaidien niende wapi na nikipi kitanilipa zaidi nikiingia katika soko la ajira.jf ni sehemu ya msaada sana kwahiyo naombeni mawazo yenu
Angalia usije ukawa unatamani gas ya mtwara na si kazi. In short soma kozi ambayo utaweza kujiajili mwenyewe coz watu wengi husoma kwa kuangalia nafasi iliyopo kwa wakati huo wanasahau kuna watu wengine wenye sifa kama hizo mtaani/makazini wanaowish kubadili sehemu za kazi.
 
Back
Top Bottom