Ushawahi kufikiria kabla
""niwatu wangapi wanamaliza chuo kila mwaka ktk kozi ambayo ilikuwa ni ndoto yako na kama ni wengi je mpaka wewe ufikie chuo upate degree ni watu wangapi watakuwa Wapo tayari na taaluma hiyo....???""
jaribu kujiuliza maswali hayo alafu kisha ndipo utakuja kwenye ukweli kwamba, kujua kuwa kitu fulani kuwa kina lipa au hakilipi ni mpaka uwe tayari unacho....!!
pia usisahau utamu wa kitu ni kubobea ndipo utaona raha yake.....!!!
yaani kwa mfano kama unataka kuwa mwanajeshi Basi uwe ni MEJA au GENERAL ndipo utona raha ya kuwa mjeshi but ukiwa KURUTA Nipo utakapo yaona machungu ya jeshi kwani lazima ujute...!!!
hivyo linganisha mfano huo na hiyo issue yako kisha utapta jawabu sahihi kabisa....!!!
NAKUTAKIA KILA LA KHERI NA USIKU MWEMA....!!!!