Wakubwa naombeni mbinu ya kumtongoza demu anayejiamini

Wakubwa naombeni mbinu ya kumtongoza demu anayejiamini

Kuna demu fulani nimetokea kumpenda ni mfanya kazi mwenzangu
Demu tayari nimesha ongeya naye ila kibaya zaidi naona yupo tofauti na wanawake wengine
Kwanza anajiamini kinoma
Pili ni mtu some time nahisi ana ni dharau kabisa
Tayari nimesha ongeya naye na kibaya au kizuri hajatoa jibu kama amekubali au kukataa
Ila ninavyo ona nikicheza karata zangu vizuri atakubali

Sasa naomba mbinu za kumtongoza demu kama huyo

Kwa wanao jua
Mtoe out mpeleke sehemu apate Kitimoto kitamu utakuja kunishukuru!
 
1. Usimpe attention,
Ntaelezea Kwa mfano wangu hai

NB: tukio hili Ni Enzi hizo za ujana wangu kipindi umepamba Moto Sina majukumu.

Ni HIVI[emoji116]
Kuna mwanamke mrembo Sana nilimwona tu barabarani afu nikampenda Sana, hanijui simjui.

Nikampeleleza anaishi wapi, na huwa anaelekea wapi. Nikapajua.
Siku Nikamtaimu anatembea barabaran na shoga yake, Maksudi kabisa Nikamsogezea bampa,kwa hofu sana akachochora Hadi mtaroni ili kukwepa nisimgonge.

Katoka mtaroni kakasirika ananituka Sana,
Nikashuka nikamuomba samahani haelewi
Nikamwomba nimpeleke hospital aangaliwe Kama hajaumia hataki.

Basi nikampa Elfu 50 akacheck x-ray Kama kaumia, akawa Kama anazikataa.
Shoga yake akamsisitiza azichukue. Akakubali.
Basi Nikamwachia hela na bizness card yangu watanipigia kunipa mrejesho wa huko hospital imekuaje. Kama Kuna msaada Zaid naweza kutoa watanambia. Wakasema asante.
Nilipomaliza Nikawaomba niwasogeze wanakoenda wakagoma. Nikaondoka zangu.

Siku Si nyingi,
Namba ngeni inaingia, anajitambulisha Ni flani yule mdada nilotaka kumgonga. Ananambia kachek Yuko salama hajaumia. Nikashkuru na Mawasiliano yakaanzia hapo.

Katkat
Ya mawasiliano nikawa Kama namuingiza ili nimtongoze ila ikawa Kama ashanisoma Nini nnachotaka kwake,Nikimwomba nimtoa dinner anachenga chenga na anahoji maswali mengi afu very short&clear utadhani tuko central polisi (means anajihamini Sana anajua Nini namwitia).

1. SIKU YA KWANZA,
Nikamwomba tuonane baa flani, nna maongezi nae.Akaanza kunihoji maswali meng ya polisi,

Nikamwambia
"Tatizo lenu nyie wanawake mkiitwa tu out kidg akili zenu ndogo mnawaza Ni mapenzi TU, kua na amani dada angu sina mpango wa mapenz na wewe. It's only business.
Ningekutaka ningeshakwambia MDA sana, sipepesagi Maneno nikipenda mwanamke Mimi"

"Chukulia Ni wito wa kawaida sana, afu kingine Ni kwa faida yako"

"Kwanza tambua sijawahi kuvutiwa na wanawake weupe na wembamba, hata mke nilienae nyumbani Ni mweusi tii na mnene. Fuatilia Hilo utajua. Kwaiyo usikae ukawaza huyu mKaka ananiitia anataka kunitongoza. Najua umemaliza chuo na umesomea mambo ya takwimu. Kama unajitambua, Kesho saa 1 jioni, tukutane eneo flani Kuna mtu anataka kuonana na wewe kwa mahojiano. Utaamua mwenyewe Uje au usije Hilo Ni juu yako." Kisha Nikakata simu

2. SIKU YA PILI,
Kesho yake saa 12 kanitafuta mwenyewe,
Akinambia ndo anajianda kwenda huko. Nikamjibu kifupi "sawa,tutakutana huko"

Saa 1 imefika nikajichelewesha maksudi,
kapiga sim keshafika, nikamwambia nisubiri nakuja,
Nmefika nmechelewa kusudi Zaid ya nusu,
Kisha nikamwambia
"Am sorry kdg nmepata ratiba zmeingiliana, siwez kukaa Sana Hapa, chukua Hii Elfu 50 uchukue tax uende, ntakufahamisha siku nyingine"
Akapokea na kushukuru, akaondoka na sikumtafuta Zaid ya siku 3

Nmekuja kumtafuta nikamwambia
"Kama unanafas kesho asbh uje hotel flan ili tuonane na huyu jamaa, Maana anaondoka na ndege ya kesho saa 6 mchana"

Akasema "sawa,Sema hapajui" nikamwambia basi ntakufata, nikukute kituo gani Cha daladala. Akanitajia.

MDA umefika nmempitia kituoni tumeenda mpk hotelini tumekaa restaurant, nkamwambia aagize chochote anachotaka. Akaagiz akala.

Baada ya MDA nikajifanya kutoka pemben kdg kuongea na Simu, nikaigiza kusikitishwa Maana binti keshafika.
Nikaonesha kusapoti wazo lake Maana kwa foleni ile mpk atoke alipo,arudi hotelini,Kisha aende Tena airport atakuja kuchelewa ndege. Kisha Nikamtakia Safar njema.

Nikarudi kwa binti na kwamwambia jamaa hatoweza kurudi, foleni ni kali Sana,kaamua kuunganisha direct airport asafiri Moja kwa Moja. Tushamkosa twenzetu.
Binti kasikitika, nami nikasikitika pia.
Nikalipa bill yetu,

Kisha nikamwambia
"Sahv sitoweza kukurudisha, naelekea Njia Hii, wee chukua Hii Elfu 70 hapo mbele utachukua taxi ikufikishe nyumbani kwako" kaipokea na kanishukuru.

Alivofika akanitext
"Asante mimi nimefika salama"
Nikaiona ila nikaipotezea sikujibu maksudi
Kesho yake akanijulia hali-nikamjibu, kaniuliza khs jamaa- sikutaka maelezo mengi, nikamjibu kuA utaonana nae utamuuliza maswali YAKO.
Kisha nikamuacha kwenye dilemma.

3. SIKU YA 3
Nikampigia Simu kua jamaa kesho Anakuja na ndege ya usiku,akauliza kwaiyo anafika mda gani. Nikamwambia sijajua ila itabidi tufike mapema Maana kanambia hajapanda ndege ya Moja kwa Moja. atashukia south,Kisha ataunganishwa ndege nyingine ya huku.

Kwaiyo Fursa pekee kuonana nae Ni tumvizie anatua pale airport tukaongee nae. Akasema "sawa"

Binti Akasema sawa.
Nikamsisitiza aje ktk mwonekano wa kisomi na kijanja zaidi, Maana mtu mwnyw Ni mzungu Sana. Akija kishamba na magauni yake marefu ataniangusha mno. Binti kasema sawa

Saa 12 jion binti ananipigia Yuko tayar, nimpitie kituoni twende. nikafanya hivyo. Nmefika kituoni kavalia suti pink ya kike na sketi kimini. Alivokaa tu kwenye siti mapaja yote wazi, namtaman balaa Ila najikaza asijue.

Anaona aibu anajaribu kufunika funika na pochi nikamzuia nikamwambia kufunika funika huo Ni ushamba. utanitia aibu mbele ya wageni, relax jiamini wee Ni msomi bhana. Kumbe Lengo nienjoy[emoji39]

Tumefika airport saa Moja kasoro,
Nikapaki nje, nikamwambia ngoja asishuke kwnyw Gari kwanza nikaulizie ratiba ndege inaingia saa ngp. Nikazurura ndani kisha nikarudi nikamwambia nmeambiwa inaingia saa 3 usiku. Unaonaje tumsubiri humu ndani au tutafte sehemu takakae tutulie? Maana mpk saa 3 Ni mbali mno.
Akasema tutafte sehemu tutulie. Basi tukaenda mitaa ya jirani Kuna restaurant imetulia sana.

Tumefika restaurant,
Ina miti miti ya bustani na uwanja wa wazi,
Anaagiza juice Kama Kawaida yake,
Nikamwambia anataka kunitia aibu mbele ya wageni, anaagizaje juice Kama wanafunzi, aagize kilevi bhana keshakua mtu mzima, akasema hanywagi pombe, nikamwambia Basi atajifunza leo leo.
Kwa Lazima nikamuagizia red wine na kuku choma Tukaanza kunywa wote.

Mpk tunafika saa 3 binti keshaanza kulewa, kachangamka anaongea balaa.
Ni story baada ya story hata habar ya airport keshasahau.

Akaanza kulalamika mbu wanamng'ata miguuni kavaa kimini, nikamshaur tukanywe kwenye gari, akasema POA.
Tumefika kwny gar, ule ulevi ulevi nami nikawa Kama najitoa ufahamu Kama nmemzoea Sana.

Kumshika Hapa na pale,
Mwenyewe akawa Kama kalegea Sana,
Kilichofata Ni kwamba nilimla mle kwenye Gari, baada ya kumla kimasihara sasa kwenye mida ya saa 5 usiku.

Ndo nikajifanya kutoka nje kuongea na Simu, nkajifanya kanambia wamekwama Nairobi ndege yao imepata hitilafu (crash landing) kwaiyo mpk MDA huu wanasubiri kufaulishwa ndege nyngn.
Kwaiyo nmetaarifiwa wataingia mida mibaya sana, kwaiyo naona nikurudishe kwenu MDA umeenda sana hatuwez msubiri tena utachelewa na yet atafika kachoka sana. Mwanamke akasema ndio.
Kweli nmemrudisha mpk kwao,Kisha nikamwachia laki Moja na nikaenda kwangu.

Kesho yake mapema Sana.
Ananitext kunijulia Hali, nikamwambia jamaa kafika ntamchek afu ntakupa majibu

Majibu khs jamaa yakawa Ni danadana,
Akawa bize na Mimi akasahau ishu ya jamaa, baada ya siku 2 Katika kuchat akaanza kuniuliza Nina msimamo gan khs yeye, nikamuuliza kivipi.

Akasema khs tukio la juz,
Nikasema "kawaida TU,kwani kilitokea nini"

Akasema "Tumefanya mapenz na nahisi Lengo lako Ni kumchezea TU"

Nikamwambia
"usiwe na hofu, mpk nafanyaje vile tayar nishakupenda. Nakupenda Sana deshdesh "

Akasema "Asante,nakupenda pia"

Na mahusiano yetu yakawa ndo yameanzia hapo[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa we jamaa bana,,inaonekana umafia ktk mapenz umeanza zamani sana[emoji23][emoji23], lkn cha ajabu huyo mama j anakupeleka peleka hovyo, sema nn fresh tu hawa viumbe ni kuwapeleka inavyotaka.

Mim stori yangu kuna mwanamke kitaa cha mbali huko nilimwelewa kinoma alaf kitaa icho kulkuwa na mashikaj zangu, sasa ili kuweka ukaribu na huyo dem ikaonekana njia rahis ni mim kupata contact za huyo demu kulko kumuendea na utambulisho kutoka kwa hili gang la masela wangu kitaa cha huyo dem maana masela hao huwa hapatani nao ni vile tu ujiran.

So ikabid nichonge na mshikaj anipe namba kulko mm kumfata direct.

Eeh siku ya kwanza namcheki mtoto kwa sim hakuwa na salio, ikabid nimchape na salio, maongezi ndani ya siku3 iv dem hajui anachat na mtu gan, hapo namlia timing, ikabidi nipange nae dating ili tufahamiane.

Bana wee siku tunakutana mtoto anashangaa, hii sura viiip mbona nikama anaijua? Huwa inapita pitaa ile mitaa yao na kijana asiyempenda.

Basi mtoto akawa ananidadis kwa maswali ya mitego ili ajuwe mm ndiye yule jamaa anaekujaga, kiukwel kukili mm ndiye ingekuwa ngumu maana ningeharibu CV, coz lile gang la wale mashikaji wa hapo kitaa ni choka mbaya af manzi huwa hawaelewi kabisa.

Ikabidi niwe namprove wrong kuwa mm si huyo kijana anaekujaga hapo, akipiga swali naruka, nikawa nampa moyo kuwa hao macharii wa mtaani wanawezaje kufanana na mtu gentleman kama mimi? Mtoto akitizama kwel jamaa ninawaka hatar nipo kiheshima na kiume zaid(kumb behind the scene ni mwehu tu).

Sasa bna dem alichokosea kuna day kaniita dating kumbe kamchukuwa na yule jamaangu wa kitaa ili aprove kwa mara ya mwsho kuwa mimi ndiye au sie.

Eh bnaa eeeh ilikuwa kama sapraiz, nmeingia ndani nilipoitwa nakutana na mshikaj wangu, kumbe nae hakujua, nilipiga bonge moja la DRAMA ambalo hata mshikaj akuelewa vip namkana, na kwel mshikaj akarespond good, mpaka dem akabak mdomo wazi haelewi elew na akajiona anamakosa kwa kufananisha watu ambao si sahihi, ili kupotezea akajifanya ananitambulisha kwa huyo mshikaj muhuni wa kitaa, kumbe huyo kwang ndio big brother [emoji23][emoji23][emoji23].

Na wasiwasi wa dem ukaishia hapo maana hata maswal kuhusu huyo anaemfananisha na mm yakapotea, na huyu manzi ndiye shemeji yenu till now, so stori za mimi yule niliyefananishwa keshasahau ila ninampango wa kumsapraiz ajue mimi ndiye yule mshenzi wake ambaye kama ningemuingia na swaga za gang la mshikaji wangu, hakika nisingempata huyu MALAIKA.

Mwanaume ukiona dem umemuelewa basi tumia mbinu yoyote kuhakikisha unampata, hawa viumbe ni dhaifu sana kama utawaotea sana.
 
Ha ha ha....wee jamaa hatar Sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muonyeshe kwamba wewe umemzidi kila kitu haswa akili and you're better than her. Jipe thamani kubwa.
Na ukiongea nae usiwe na wasiwasi wowote mtreat kama mtoto wa form 2 akileta dharau wewe fanya kama unaongea na mtoto jeuri wala usipanic na usionyeshe kama umetishwa na vitendo vyake au maneno yake bali wewe endelea kumtease huku ukiwa serious kabisa.

Usionyeshe kumuogopa wala kumuheshimu kupitiliza kama anavyofanya kila mtu kwake muone ajione yeye ni wa kawaida tu kwako na aione confidence mlangoni sio unajikwakwaa na kutafuna maneno.
Mimi ningefanya yote hayo ili kutimiza agenda alafu namtupilia mbali kumuonyesha kwamba mimi ndio mimi.
Sipotezi muda wala pesa zangu kwa vitu visivyo na msingi ni kama mchezo tu usio na faida.

Na cha mwisho kumbuka huyo ni mwanamke tu, simple kama hivyo.
 
1. Usimpe attention,
Ntaelezea Kwa mfano wangu hai

NB: tukio hili Ni Enzi hizo za ujana wangu kipindi umepamba Moto Sina majukumu.

Ni HIVI[emoji116]
Kuna mwanamke mrembo Sana nilimwona tu barabarani afu nikampenda Sana, hanijui simjui.

Nikampeleleza anaishi wapi, na huwa anaelekea wapi. Nikapajua.
Siku Nikamtaimu anatembea barabaran na shoga yake, Maksudi kabisa Nikamsogezea bampa,kwa hofu sana akachochora Hadi mtaroni ili kukwepa nisimgonge.

Katoka mtaroni kakasirika ananituka Sana,
Nikashuka nikamuomba samahani haelewi
Nikamwomba nimpeleke hospital aangaliwe Kama hajaumia hataki.

Basi nikampa Elfu 50 akacheck x-ray Kama kaumia, akawa Kama anazikataa.
Shoga yake akamsisitiza azichukue. Akakubali.
Basi Nikamwachia hela na bizness card yangu watanipigia kunipa mrejesho wa huko hospital imekuaje. Kama Kuna msaada Zaid naweza kutoa watanambia. Wakasema asante.
Nilipomaliza Nikawaomba niwasogeze wanakoenda wakagoma. Nikaondoka zangu.

Siku Si nyingi,
Namba ngeni inaingia, anajitambulisha Ni flani yule mdada nilotaka kumgonga. Ananambia kachek Yuko salama hajaumia. Nikashkuru na Mawasiliano yakaanzia hapo.

Katkat
Ya mawasiliano nikawa Kama namuingiza ili nimtongoze ila ikawa Kama ashanisoma Nini nnachotaka kwake,Nikimwomba nimtoa dinner anachenga chenga na anahoji maswali mengi afu very short&clear utadhani tuko central polisi (means anajihamini Sana anajua Nini namwitia).

1. SIKU YA KWANZA,
Nikamwomba tuonane baa flani, nna maongezi nae.Akaanza kunihoji maswali meng ya polisi,

Nikamwambia
"Tatizo lenu nyie wanawake mkiitwa tu out kidg akili zenu ndogo mnawaza Ni mapenzi TU, kua na amani dada angu sina mpango wa mapenz na wewe. It's only business.
Ningekutaka ningeshakwambia MDA sana, sipepesagi Maneno nikipenda mwanamke Mimi"

"Chukulia Ni wito wa kawaida sana, afu kingine Ni kwa faida yako"

"Kwanza tambua sijawahi kuvutiwa na wanawake weupe na wembamba, hata mke nilienae nyumbani Ni mweusi tii na mnene. Fuatilia Hilo utajua. Kwaiyo usikae ukawaza huyu mKaka ananiitia anataka kunitongoza. Najua umemaliza chuo na umesomea mambo ya takwimu. Kama unajitambua, Kesho saa 1 jioni, tukutane eneo flani Kuna mtu anataka kuonana na wewe kwa mahojiano. Utaamua mwenyewe Uje au usije Hilo Ni juu yako." Kisha Nikakata simu

2. SIKU YA PILI,
Kesho yake saa 12 kanitafuta mwenyewe,
Akinambia ndo anajianda kwenda huko. Nikamjibu kifupi "sawa,tutakutana huko"

Saa 1 imefika nikajichelewesha maksudi,
kapiga sim keshafika, nikamwambia nisubiri nakuja,
Nmefika nmechelewa kusudi Zaid ya nusu saa,
Kisha nikamwambia
"Am sorry kdg ratiba zmeingiliana, kwasasa siwez kukaa Sana Hapa, chukua Hii Elfu 50 uchukue tax uende, ntakufahamisha siku nyingine"
Akapokea na kushukuru, akaondoka na sikumtafuta Zaid ya siku 3

Nmekuja kumtafuta nikamwambia
"Kama unanafas kesho asbh uje hotel flan ili tuonane na huyu jamaa, Maana anaondoka na ndege ya kesho saa 6 mchana"

Akasema "sawa,Sema sipajui" nikamwambia basi ntakufata nikupeleke, nikukute kituo gani Cha daladala. Akanitajia.

MDA umefika nmempitia kituoni tumeenda mpk hotelini tumekaa restaurant, nkamwambia aagize chochote anachotaka. Akaagiz juice ya kopo na yai la kukaanga akala.

Baada ya MDA nikajifanya kutoka pemben kdg kuongea na Simu, nikaigiza kusikitishwa Maana binti mwnyw keshafika.
Nikaonesha kusapoti wazo lake Maana kwa foleni ile mpk atoke alipo,arudi hotelini,Kisha aende Tena airport atakuja kuichelewa ndege. Kisha Nikamtakia Safar njema.

Nikarudi kwa binti na kwamwambia jamaa hatoweza kurudi,alipo foleni ni kali Sana,kaamua kuunganisha direct airport asafiri Moja kwa Moja. Leo Tushamkosa inabd twenzetu tumsubiri wiki ijayo atakaporudi. Akasema sawa.
Binti kasikitika, nami nikasikitika pia.
Nikalipa bill yetu, tukaondoka

Kisha nikamwambia
"Sahv sitoweza kukurudisha, naelekea Njia Hii, wee chukua Hii Elfu 70 hapo mbele utachukua taxi ikufikishe nyumbani kwako" kaipokea na kanishukuru. Nikaondoka zangu.

Alivofika akanitext
"Asante mimi nimefika salama"
Nikaiona ila nikaipotezea sikujibu maksudi
Kesho yake akanijulia hali-nikamjibu, kaniuliza khs jamaa- sikutaka maelezo mengi, nikamjibu kuA utaonana nae utamuuliza maswali YAKO akisharudi.
Kisha nikamuacha kwenye dilemma.

3. SIKU YA 3
Ni baada ya ya wiki,
Nikampigia Simu kua jamaa mwnyw kesho Anarudi na ndege ya usiku,akauliza kwaiyo anafika mda gani. Nikamwambia sijajua ila itabidi tufike mapema airport Maana kanambia hajapanda ndege ya Moja kwa Moja. atashukia south Africa ,Kisha ataunganishwa ndege nyingine ya kuja huku.

Kwaiyo Fursa pekee ya sisi kuonana nae Ni tumvizie ile anatua pale airport tukaongee nae. Akasema "sawa"

Binti Akasema sawa.
Pia Nikamsisitiza aje ktk mwonekano wa kisomi na kijanja zaidi, Maana mtu mwnyw Ni mzungu Sana. Akija kishamba shamba na magauni yake marefu ya juzi ataniangusha mno. Binti kasema sawa

Saa 12 jion binti ananipigia Yuko tayar, nimpitie kituoni ili twende. nikafanya hivyo. Nmefika kituoni kavalia suti pink ya kike na sketi kimini. Alivokaa tu kwenye siti ya gari mapaja yake yote wazi, namtaman balaa Ila nikajika kiume asijue.

Basi binti mwenyewe
Anaona aibu mno na anajaribu kufunika funika na pochi, Mara mtandio.
nikamzuia nikamwambia kufunika funika huo Ni ushamba. utanitia aibu mbele ya wageni, relax jiamini wee Ni msomi bhana. Kumbe Lengo akae mapaja wazi nienjoy[emoji39]

Tumefika airport saa Moja kasoro,
Nikapaki nje, nikamwambia ngoja asishuke kwnyw Gari kwanza nikaulizie ratiba ndege inaingia saa ngp. Nikazurura ndani kisha nikarudi nikamwambia nmeambiwa inaingia saa 3 usiku. Unaonaje tumsubiri humu ndani au tutafte sehemu takakae tutulie? Maana mpk saa 3 Ni mbali mno.
Akasema tutafte sehemu tutulie. Basi tukaenda mitaa ya jirani Kuna restaurant imetulia sana.

Tumefika restaurant,
Ina miti miti ya bustani na uwanja wa wazi,
Akaagiza juice Kama Kawaida yake,
Nikamwambia anataka kunitia aibu sasa mbele ya wageni, anaagizaje juice Kama wanafunzi, aagize bia bhana keshakua mtu mzima, akasema hanywagi pombe., nikamwambia Basi atajifunza leo leo.
Kwa Lazima nikamuagizia red wine,nikamwambia haileweshi kivile Tukaanza kunywa wote na kukuchoma.

Mpk tunafika saa 3 usiku binti keshaanza kulewa, kachangamka mno anaongea balaa. Ni story baada ya story hata habar ya kuulizia uko airport keshasahau.

Mara ukimi ukaanza kua mzito,
Akaanza kulalamika mbu wanamng'ata miguuni kavaa kimini, nikamshaur tukanywe kwenye gari, akasema POA.
Tumefika kwny gar, ule ulevi ulevi nami nikawa Kama najitoa ufahamu Kama nmemzoea Sana mkono umeteleza namshika shika mapajani.

Kumshika Hapa na pale,
Mwenyewe akawa Kama zimepanda chini akawa kalegea Sana.
Kilichofata ninkwamba Nilivaa buti nikamla mle mle ndani kwenye Gari, baada ya kumla kimasihara nmeshakojoa kimoja sasa kwenye mida ya saa 5 usiku.

Ndo nikajifanya kutoka nje kuongea na Simu na mtu wa airport kuulizia ndege vipi , nkajifanya kanambia jamaa zetu wamekwama Nairobi ndege yao imepata hitilafu (crash landing) kwaiyo mpk MDA huu wanasubiri kufaulishwa ndege nyngn.

Kwaiyo nikamrudishia mrejesho binti nmetaarifiwa wataingia mida mibaya sana, kwaiyo naona nikurudishe TU kwenu MDA umeenda sana hatuwez msubiri tena jamaa, utachelewa na yeye kwa milolongo hi lazim atafika kachoka sana.
Mwanamke akasema ndio.

Kweli nmemrudisha binti mpk kwao,
Kisha nikamwachia laki Moja na nikaenda kwangu.

Kesho yake mapema Sana.
Ananitext kunijulia Hali, nikamwambia jamaa kafika ila ntamchek afu ntakupa majibu

Majibu khs jamaa yakawa Ni danadana TU,
Binti Akawa bize na Mimi akasahau ishu ya jamaa, baada ya siku 2 Katika kuchat akaanza kuniuliza maswali Nina msimamo gan khs yeye, nikamuuliza kivipi.

Akasema khs tukio la juz,
Nikasema "kawaida TU,kwani kilitokea nini"

Akasema "Tumefanya mapenz na nahisi Lengo lako Ni kunichezea TU. Nambie ukweli."

Nikamwambia
"usiwe na hofu, mpk nafanyaje vile tayar nishakupenda. Kwaiyo jua Nakupenda Sana "

Akasema "Asante,nakupenda pia"

Na mahusiano yetu yakawa ndo yameanzia hapo[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah
 
Kuna demu fulani nimetokea kumpenda ni mfanya kazi mwenzangu
Demu tayari nimesha ongeya naye ila kibaya zaidi naona yupo tofauti na wanawake wengine
Kwanza anajiamini kinoma
Pili ni mtu some time nahisi ana ni dharau kabisa
Tayari nimesha ongeya naye na kibaya au kizuri hajatoa jibu kama amekubali au kukataa
Ila ninavyo ona nikicheza karata zangu vizuri atakubali

Sasa naomba mbinu za kumtongoza demu kama huyo

Kwa wanao jua
Unahitaji mbinu za kuinua uchumi wako zaidi.
 
Kwali nimezeeka mpaka leo kuna watu wanatongoza na kusubiria majibu mimi demu akinipa namba au nikiwa na namba yake tu imeisha hyo hapo ni appointment tu kinachofuata.
 
Kumbe ndiye wewe unatongoza mpenzi wangu?
Mpo mwanza sio.
Wewe ni mkerewe sijui mjita?
Anyway ameshaniuliza kuhusu tabia zenu.
 
Back
Top Bottom