Wakubwa naombeni mbinu ya kumtongoza demu anayejiamini

Mtoe out mpeleke sehemu apate Kitimoto kitamu utakuja kunishukuru!
 
Daa we jamaa bana,,inaonekana umafia ktk mapenz umeanza zamani sana[emoji23][emoji23], lkn cha ajabu huyo mama j anakupeleka peleka hovyo, sema nn fresh tu hawa viumbe ni kuwapeleka inavyotaka.

Mim stori yangu kuna mwanamke kitaa cha mbali huko nilimwelewa kinoma alaf kitaa icho kulkuwa na mashikaj zangu, sasa ili kuweka ukaribu na huyo dem ikaonekana njia rahis ni mim kupata contact za huyo demu kulko kumuendea na utambulisho kutoka kwa hili gang la masela wangu kitaa cha huyo dem maana masela hao huwa hapatani nao ni vile tu ujiran.

So ikabid nichonge na mshikaj anipe namba kulko mm kumfata direct.

Eeh siku ya kwanza namcheki mtoto kwa sim hakuwa na salio, ikabid nimchape na salio, maongezi ndani ya siku3 iv dem hajui anachat na mtu gan, hapo namlia timing, ikabidi nipange nae dating ili tufahamiane.

Bana wee siku tunakutana mtoto anashangaa, hii sura viiip mbona nikama anaijua? Huwa inapita pitaa ile mitaa yao na kijana asiyempenda.

Basi mtoto akawa ananidadis kwa maswali ya mitego ili ajuwe mm ndiye yule jamaa anaekujaga, kiukwel kukili mm ndiye ingekuwa ngumu maana ningeharibu CV, coz lile gang la wale mashikaji wa hapo kitaa ni choka mbaya af manzi huwa hawaelewi kabisa.

Ikabidi niwe namprove wrong kuwa mm si huyo kijana anaekujaga hapo, akipiga swali naruka, nikawa nampa moyo kuwa hao macharii wa mtaani wanawezaje kufanana na mtu gentleman kama mimi? Mtoto akitizama kwel jamaa ninawaka hatar nipo kiheshima na kiume zaid(kumb behind the scene ni mwehu tu).

Sasa bna dem alichokosea kuna day kaniita dating kumbe kamchukuwa na yule jamaangu wa kitaa ili aprove kwa mara ya mwsho kuwa mimi ndiye au sie.

Eh bnaa eeeh ilikuwa kama sapraiz, nmeingia ndani nilipoitwa nakutana na mshikaj wangu, kumbe nae hakujua, nilipiga bonge moja la DRAMA ambalo hata mshikaj akuelewa vip namkana, na kwel mshikaj akarespond good, mpaka dem akabak mdomo wazi haelewi elew na akajiona anamakosa kwa kufananisha watu ambao si sahihi, ili kupotezea akajifanya ananitambulisha kwa huyo mshikaj muhuni wa kitaa, kumbe huyo kwang ndio big brother [emoji23][emoji23][emoji23].

Na wasiwasi wa dem ukaishia hapo maana hata maswal kuhusu huyo anaemfananisha na mm yakapotea, na huyu manzi ndiye shemeji yenu till now, so stori za mimi yule niliyefananishwa keshasahau ila ninampango wa kumsapraiz ajue mimi ndiye yule mshenzi wake ambaye kama ningemuingia na swaga za gang la mshikaji wangu, hakika nisingempata huyu MALAIKA.

Mwanaume ukiona dem umemuelewa basi tumia mbinu yoyote kuhakikisha unampata, hawa viumbe ni dhaifu sana kama utawaotea sana.
 
Ha ha ha....wee jamaa hatar Sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muonyeshe kwamba wewe umemzidi kila kitu haswa akili and you're better than her. Jipe thamani kubwa.
Na ukiongea nae usiwe na wasiwasi wowote mtreat kama mtoto wa form 2 akileta dharau wewe fanya kama unaongea na mtoto jeuri wala usipanic na usionyeshe kama umetishwa na vitendo vyake au maneno yake bali wewe endelea kumtease huku ukiwa serious kabisa.

Usionyeshe kumuogopa wala kumuheshimu kupitiliza kama anavyofanya kila mtu kwake muone ajione yeye ni wa kawaida tu kwako na aione confidence mlangoni sio unajikwakwaa na kutafuna maneno.
Mimi ningefanya yote hayo ili kutimiza agenda alafu namtupilia mbali kumuonyesha kwamba mimi ndio mimi.
Sipotezi muda wala pesa zangu kwa vitu visivyo na msingi ni kama mchezo tu usio na faida.

Na cha mwisho kumbuka huyo ni mwanamke tu, simple kama hivyo.
 
Daaaah
 
Unahitaji mbinu za kuinua uchumi wako zaidi.
 
Kwali nimezeeka mpaka leo kuna watu wanatongoza na kusubiria majibu mimi demu akinipa namba au nikiwa na namba yake tu imeisha hyo hapo ni appointment tu kinachofuata.
 
Kumbe ndiye wewe unatongoza mpenzi wangu?
Mpo mwanza sio.
Wewe ni mkerewe sijui mjita?
Anyway ameshaniuliza kuhusu tabia zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…