Wakubwa naombeni mbinu ya kumtongoza demu anayejiamini

***** si Bora nienda kwenye point kwamba Kuna 70k nimto#&&#mbe direct kuliko kupoteza mda
 
Duuuh! Huu ni mtihani mgumu zaidi ya somo la drafting
 
Wenzio tunahangaika jinsi ya kumkomesha mwanamke wewe unahangaika jinsi ya kumtongoza mwanamke
 
Utahangaika bure kijana sema nikupe namba ya mganga nguli acheze na mizimu uchukue binti mchana kweupe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Ambaye Sasa ndio mama j huyu wa sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huu mfano ni waste of time na resources
 
Sasa kama ushaongea naye si usubiri jibu tu mkuu..wala usiwe na presha akikubali sawa akikukataa poa pia
 
Mkuu, Wewe Hauna Hela Acha Nye Nye Nye,Hakuna Manzi Wakutongza Kwa Wiki Mbili Karne Hii..NAKUKATAZA ACHA DHARAU
 
Tumia uchawi wa wazungu mkuu mtoto ataingia kingi mwenyewe.
Kama vipi mfanyie suprises Mara Moja Moja atajiongeza mwenyewe.
 
Duuh Brother hatari sana ndio dawa yao haswa ndege mjanja kunasa kwenye tundu bovu
 
Nimejikutaa nachekaaa
 
Unataka kumtongoza tena huyo huyo au unataka kumtongoza mwengine?
 
Utahangaika bure kijana sema nikupe namba ya mganga nguli acheze na mizimu uchukue binti mchana kweupe!
Tuache kuharibu akili Kwa uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…