Wakubwa Naombeni Msaada wa Mawazo Yenu.


Aisee dem anakuficha kuwa nae makini

Full stop
 
Usimuumize kwani ana mitihani na anaangalia future na nyie bado wadogo sana kiumri ingawa unakataa udogo mimi ni kama babu yako maana kwa huo umri mimi ni x3
Maadam umeuliza ujue bado changamoto nyingi za maisha zinakusubiri na yeye pia
Na siku moja mtaangalia nyuma na kucheka na huku ukimkumbuka na kusema ujana bwana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ndo nishamuumiza sasa mkuu..Acha akinitafuta ntamweka sawa yaishe ila ajue tu kuwa sipendi anachonifanyia..
 
Mkuu we acha2..Nampenda sana.
Wekeni malengo yenu kama mnareal love unajua nyie bado wadogo sio watoto tofauti hapa ni mmeshafikisha miaka 18 nakupita.
So ni halali yenu kabisa kuweka malengo.
Maisha haya mafupi tulia naye ila mtapitia mengi kisa bado nyie mko ile stegi yakukubaliana na mapenzi mapya mf. Huyo demu akipata alinayemvutia anakubali anakusahau ila anakupenda qeww hivyo hivyo demu yuko skuli ngoja nimalize shida zangu.
Yeye atatukanwa kisa yeye wewe utatukanwa kisa yeye.
Hiyo huwaga automatic yaani so mkiwa wavumilivu ni powa .
Ila nakataa lazima vishawishi viwameze.
Tulipitiaga hiyo unamkwaza umpendaye analia unalia.
Mnatafutana nakutumiana watu baada ya kuuziana.
Halafu baada yakufanya makosa shish ndio mnakumbukana ninayo mtu kumbe.
Kwa hiyo haya ndio maisha ujana halafu usikubali mtu akuite mtoto kwa maana mmeshavuka 18 na serikali ya Tz mnahaki yakuoana mi nimemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Katoto kazuri,Nasaha zako nimezielewa sana,Ubarikiwe Dada'angu
 
Mapensi na masomo wapi na wapi.... Nyie nyote mtatengeza failure ya maisha tu. mkifanikiwa sana labda muwe wafagiaji ofisini...

 
Mapensi na masomo wapi na wapi.... Nyie nyote mnatengeza failure ya maisha tu. Mkifanikiwa sana labda muwe wafagiaji ofisini...

 
Hebu usikilize kwanza ule muziki wa mbaraka mushehe wa
MAPENZI SHULENI
Halafu utupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…