princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
- Thread starter
- #41
Nini boe?!Kumbeee ndio maaana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini boe?!Kumbeee ndio maaana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweli bablae!!Chaliii acha mambo ya ajabuu huyoo manzii anapenda .!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe..!!Mkuu me mwenyewe sijaelewa apo,Ila chalii alisema pindi dem anatoka chuga kwenda Mwanza alimwachia laini yule mchizi,Lakini hiyohiyo laini tulikua tunawasiliana na mamiloo akiwa Mwanza hadi inakuja kuchukuliwa na ticha kama alivyosema yeye,,Sasa namba kaipataje jamaa na dem bado hajarudi chuga tangia aondoke ni swali nalojiuliza bila majibu kwakweli dingiangu.
Unataka kusemaje?Muda mwingine unasoma unajiuliza
Hivi nilivyokuwa umri huo nilikua kama huyu jamaa?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nishamuumiza sasa mkuu..Acha akinitafuta ntamweka sawa yaishe ila ajue tu kuwa sipendi anachonifanyia..Usimuumize kwani ana mitihani na anaangalia future na nyie bado wadogo sana kiumri ingawa unakataa udogo mimi ni kama babu yako maana kwa huo umri mimi ni x3
Maadam umeuliza ujue bado changamoto nyingi za maisha zinakusubiri na yeye pia
Na siku moja mtaangalia nyuma na kucheka na huku ukimkumbuka na kusema ujana bwana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wekeni malengo yenu kama mnareal love unajua nyie bado wadogo sio watoto tofauti hapa ni mmeshafikisha miaka 18 nakupita.Mkuu we acha2..Nampenda sana.
Asante sana Katoto kazuri,Nasaha zako nimezielewa sana,Ubarikiwe Dada'anguWekeni malengo yenu kama mnareal love unajua nyie bado wadogo sio watoto tofauti hapa ni mmeshafikisha miaka 18 nakupita.
So ni halali yenu kabisa kuweka malengo.
Maisha haya mafupi tulia naye ila mtapitia mengi kisa bado nyie mko ile stegi yakukubaliana na mapenzi mapya mf. Huyo demu akipata alinayemvutia anakubali anakusahau ila anakupenda qeww hivyo hivyo demu yuko skuli ngoja nimalize shida zangu.
Yeye atatukanwa kisa yeye wewe utatukanwa kisa yeye.
Hiyo huwaga automatic yaani so mkiwa wavumilivu ni powa .
Ila nakataa lazima vishawishi viwameze.
Tulipitiaga hiyo unamkwaza umpendaye analia unalia.
Mnatafutana nakutumiana watu baada ya kuuziana.
Halafu baada yakufanya makosa shish ndio mnakumbukana ninayo mtu kumbe.
Kwa hiyo haya ndio maisha ujana halafu usikubali mtu akuite mtoto kwa maana mmeshavuka 18 na serikali ya Tz mnahaki yakuoana mi nimemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasoma mkuuKama unasoma zingatia masomo kwa sasa, kama ulifeli mwambie mshua akupeleke veta au gerage ukajifunze kazi....huu ndo ushauri wangu.
Ni sawa ila Tatizo Offset,walipo breakup nilifurahi but wakarudiana tena Aarrgghh.!!achana nae mtafute CARD B ndo mtaendana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu shikamooni..Leo sitaandika kwa ile Lugha ya Kiarusha(Ngareroo slang)Kwasababu Nna jambo naombeni msaada wa mawazo yenu kama kaka zangu na Dada zangu,,So leo naomba niandike kwa lugha inayoeleweka ili mnisaidie mawazo na Asipatikane mtu wa kusema hajaelewa hii ni kutokana na watu wengi humu kudai hawaelewagi wengine pia husema bangi,uhuni na maneno kibao...Naam hapo,Nna msichana tunaishi nae uku Arusha japo yeye anakaa Kikatiti mimi nipo apa Kijenge juu,Huyu binti ana umri wa miaka 19 na kwasasa yupo Mwanza kimasomo,Nakumbuka mahusiano yetu yalianza mwaka jana mwezi wa6,Na hadi kufikia hapa tushawekeana malengo kabisa ya kuoana coz anakila sifa nnazozihitaji za kuwa mke wangu,Ndo mwanamke nnaempenda kuliko wanawake wote duniani ukimtoa Mama angu,Dada zangu anafata yeye then Cardi B,kiukweli ananipenda sana kunizidi hata mimi navyompenda,yaani nikimkosea kidogo tu analia,Nakumbuka kuna siku nilimtania tuachane tubaki marafiki,alilia sana hadi marafiki zangu wakanisaidia kumnyamazisha,Kila akirudi likizo home anakuja na zawadi zangu,pia nakumbuka semester iliyopita alinilipia nusu ya accommodation fees(ada ya hostel)alitoa laki na nusu alimdanganya Baba'ake sijui wana study tour ya Wapi?Then nusu nikamalizia mimi ikakamilika laki3,,,Sasa bwana huyu dem kuna namba yake ya voda alinambia nimtumie video3 WhatsApp,Tamu ya Mbosso,Roboti ya Whozu na Tetema ya Rayvanny na Mond,Basi nikamtumia lakini alisema bado hajaziona coz alikua hana bando ila akasema akiweka ataziona,huyu dem yuko shule na hutumia sim ki'sirisiri coz haziruhusiwi,,Sasa siku mbili baadae akanambia ile namba niifute na nisiitumie kabisa coz simu ilikamatwa alaf yule mwalimu akaichukua laini then akaichukua namba yangu akaiandika kwenye karatasi coz alikuta imeseviwa"My husband"yule ticha akasema atanitafuta kisha akai'block ile laini akamrudishia dem,dem alipoona ime'blockiwa akaamua kuivunja tu kwa mujibu wake alivosema,,,Kweli mimi nikaifuta ile namba but juzi kuna namba ngeni Ikanitumia sms ikinipiga biti kuwa niachane na uyo manzi,mimi nikajua labda kakosea namba chalii,nikamuuliza Manzi gani?akanitajia jina la dem wangu kabisa alafu akazitaja na video zilezile nilizotuma daah..!!Chalii kanitukana sana anadai hiyo namba aliachiwa na uyo dem na akaambiwa eti atutukane washkaji wote tunaomsumbua,Basi bhana nikamkaushia yule jamaa ikabidi nimuulize dem aliponitafuta ile jana kwa simu na namba ingine,Dem kakana hamjui chalii na hajui iyo namba'ake kaipataje!Dem kajitetea hadi akaanza kulia kazira hadi kula wanafunzi wenzake wananambia,,Ila yule jamaa nimeongea nae kistaarabu.kasema ameamua kuniachia niendelee nae coz nna malengo nae,,,Wakuu zangu nnachowaomba mnisaidie Je huyu dem kweli hamjui uyu chalii na ananipenda kweli?yule chali nilimuuliza namba'angu kaipataje?akasema alizipata WhatsApp nilipotuma zile video coz nilifikiri ndo yule ticha aliechukuaga laini ila sio coz uyu ni kijana tu mdogo na yuko Form4 apa Arusha sec.so sio yule ticha,,Nisaidieni wakuu nifanyaje ili niujue ukweli istoshe dem saiv yuko so disappointed kinyama na wana mitihani walianza jumatano naona kabisa hatafanya poa,,,,Asanteni sana.
@ChaliiYaKijengeJuu.

Sawa ila hiyo MAPENSI ndo nimeielewa zaidi.Mapensi na masomo wapi na wapi.... Nyie nyote mnatengeza failure ya maisha tu. Mkifanikiwa sana labda muwe wafagiaji ofisini...
Sawa MkuuHebu usikilize kwanza ule muziki wa mbaraka mushehe wa
MAPENZI SHULENI
Halafu utupe mrejesho