Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe mtoto sasa ataweka malengo na nani aliekomaa!?Wee jamaa hauko serious kabisa, dem ana miaka 19 unaweka malengo ya kuoa. Eb tafuta aliyepevuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo kulipo anza tatizo why usiitumie kifupi binti kakuficha tu we endelea nae hakuna mkamilifu muhimu kuombana msamaha maisha yaendelee.siku mbili baadae akanambia ile namba niifute na nisiitumie kabisa coz simu ilikamatwa alaf yule mwalimu akaichukua laini then
Alisema nisiitumie sababu ilichukuliwa na ticha..but nimekupata mkuu.Hapa ndipo kulipo anza tatizo why usiitumie kifupi binti kakuficha tu we endelea nae hakuna mkamilifu muhimu kuombana msamaha maisha yaendelee.
Thanks bro I get you.I believe kama mnapendana na kweli mnamalengo then u have to let her go and trust that she will come back to you.. Ila ukaona hajarudi basi jua haikua meant muwe pamoja, then u need to move on.. Enjoy life while u still can.. Peace
Kwahyo mkuu hapa mwenye utoto ni mimi au yeye?Have fun ,furahia ujana wako...too early to be too sure .Trust me ukikuka na kupata exposure zaidi utajua hayo malengo ni utoto .Mapema mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ariff?mkuu..hivi huwa una madem wangapi?
Sio kwamba ilichukuliwa na ticha kipindi anakupa wew tahadhari tayari iko mikononi mwa jamaa so akawahi kukupa uwongo ili azime so kiasi hata kama akija kukupa uwongo usipanic sana.Alisema nisiitumie sababu ilichukuliwa na ticha..but nimekupata mkuu.
Wakuu shikamooni..Leo sitaandika kwa ile Lugha ya Kiarusha(Ngareroo slang)Kwasababu Nna jambo naombeni msaada wa mawazo yenu kama kaka zangu na Dada zangu,,So leo naomba niandike kwa lugha inayoeleweka ili mnisaidie mawazo na Asipatikane mtu wa kusema hajaelewa hii ni kutokana na watu wengi humu kudai hawaelewagi wengine pia husema bangi,uhuni na maneno kibao...Naam hapo,Nna msichana tunaishi nae uku Arusha japo yeye anakaa Kikatiti mimi nipo apa Kijenge juu,Huyu binti ana umri wa miaka 19 na kwasasa yupo Mwanza kimasomo,Nakumbuka mahusiano yetu yalianza mwaka jana mwezi wa6,Na hadi kufikia hapa tushawekeana malengo kabisa ya kuoana coz anakila sifa nnazozihitaji za kuwa mke wangu,Ndo mwanamke nnaempenda kuliko wanawake wote duniani ukimtoa Mama angu,Dada zangu anafata yeye then Cardi B,kiukweli ananipenda sana kunizidi hata mimi navyompenda,yaani nikimkosea kidogo tu analia,Nakumbuka kuna siku nilimtania tuachane tubaki marafiki,alilia sana hadi marafiki zangu wakanisaidia kumnyamazisha,Kila akirudi likizo home anakuja na zawadi zangu,pia nakumbuka semester iliyopita alinilipia nusu ya accommodation fees(ada ya hostel)alitoa laki na nusu alimdanganya Baba'ake sijui wana study tour ya Wapi?Then nusu nikamalizia mimi ikakamilika laki3,,,Sasa bwana huyu dem kuna namba yake ya voda alinambia nimtumie video3 WhatsApp,Tamu ya Mbosso,Roboti ya Whozu na Tetema ya Rayvanny na Mond,Basi nikamtumia lakini alisema bado hajaziona coz alikua hana bando ila akasema akiweka ataziona,huyu dem yuko shule na hutumia sim ki'sirisiri coz haziruhusiwi,,Sasa siku mbili baadae akanambia ile namba niifute na nisiitumie kabisa coz simu ilikamatwa alaf yule mwalimu akaichukua laini then akaichukua namba yangu akaiandika kwenye karatasi coz alikuta imeseviwa"My husband"yule ticha akasema atanitafuta kisha akai'block ile laini akamrudishia dem,dem alipoina ime'blockiwa akaamua kuivunja tu kwa mujibu wake alivosema,,,Kweli mimi nikaifuta ile namba but juzi kuna namba ngeni Ikanitumia sms ikinipiga biti kuwa niachane na uyo manzi,mimi nikajua labda kakosea namba chalii,nikamuuliza Manzi gani?akanitajia jina la dem wangu kabisa alafu akazitaja na video zilezile nilizotuma daah..!!Chalii kanitukana sana anadai hiyo namba aliachiwa na uyo dem na akaambiwa eti atutukane washkaji wote tunaomsumbua,Basi bhana nikamkaushia yule jamaa ikabidi nimuulize dem aliponitafuta ile jana kwa simu na namba ingine,Dem kakana hamjui chalii na hajui iyo namba'ake kaipataje!Dem kajitetea hadi akaanza kulia kazira hadi kula wanafunzi wenzake wananambia,,Ila yule jamaa nimeongea nae kistaarabu.kasema ameamua kuniachia niendelee nae coz nna malengo nae,,,Wakuu zangu nnachowaomba mnisaidie Je huyu dem kweli hamjui uyu chalii na ananipenda kweli?yule chali nilimuuliza namba'angu kaipataje?akasema alizipata WhatsApp nilipotuma zile video coz nilifikiri ndo yule ticha aliechukuaga laini ila sio coz uyu ni kijana tu mdogo na yuko Form4 apa Arusha sec.so sio yule ticha,,Nisaidieni makuu nifanyaje ili niujue ukweli istoshe dem saiv yuko so disappointed kinyama na wana mitihani walianza jumatano naona kabisa hatafanya poa,,,,Asanteni sana.
@ChaliiYaKijengeJuu.
Mimi hoi daah..!!
Hehehe..!!Mkuu me mwenyewe sijaelewa apo,Ila chalii alisema pindi dem anatoka chuga kwenda Mwanza alimwachia laini yule mchizi,Lakini hiyohiyo laini tulikua tunawasiliana na mamiloo akiwa Mwanza hadi inakuja kuchukuliwa na ticha kama alivyosema yeye,,Sasa namba kaipataje jamaa na dem bado hajarudi chuga tangia aondoke ni swali nalojiuliza bila majibu kwakweli dingiangu.Uyo jamaa yupo arusha ss kapataje izo namba wakati dem yupo shule mwanza ??
Chaliangu manzi hana laini saivi waga anaomba kwa marafiki zake tu ndo tunaongea,hata kwa hao marafiki zake hana Permanent number leo tigo,kesho voda,jana Airtel,wiki ijayo voda but namba tofauti.Nigee namba ya huyo demu wako nikamfuate huko shule kwao nimuulize vizuri,mi nipo Rocky City Nyamagana hapa katikati ya jiji nipe namba yake nikusaidie uchunguzi
Sent using Jamii Forums mobile app