Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machine hapo inaboot kupitia network (ethernet) hapo inaweza kuwa kwa sababu
Nimei restart tayari imekubaliMachine hapo inaboot kupitia network (ethernet) hapo inaweza kuwa kwa sababu
1. Umeseti hivyo kwenye bios, ingia bios seti iboot kupitia HDD
2. Machine haioni hdd ama inaiona lakini haioni os hivyo inapelekea kucheki network kama kuna option.
Ungeanza na bios mkuu hakikisha inaboot kupitia hdd