Machine hapo inaboot kupitia network (ethernet) hapo inaweza kuwa kwa sababu
1. Umeseti hivyo kwenye bios, ingia bios seti iboot kupitia HDD
2. Machine haioni hdd ama inaiona lakini haioni os hivyo inapelekea kucheki network kama kuna option.
Ungeanza na bios mkuu hakikisha inaboot kupitia hdd