Hahahah sikia, Usiogope kutoa TALAKA kwasababu ya kuanza kupigia hesabu ulichokitokea.
Wengi wenu mnaishia kujiua nakufa vifo visivyo venu sababu tu mlipoanza kufikiria muda na pesa ulizotumia unaona bora UKOMAE NAYE TU ATABADILIKA.
Sikia Bro....* KUANZA UPYA KAMWE SIO UJINGA*.
utakapoona mazingira hatarishi ambayo huenda yataleta kifo kiuchumi,kijamii,kinafsi toka mwanamke wao , MUACHE MARA MOJA...otherwise utajikuta unakufa wee au unamuua yeye.
Mengine madogo madogo sio yakumuacha Mke.