Wakubwa tuwe tunatumia akili zetu vizuri.

Wakubwa tuwe tunatumia akili zetu vizuri.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Mwanamke umeenda kumtolea mahari kwao ya tshs million 2,.. Ukafanya sherehe ya tshs million 5.
Unakuja kumpa talaka kwa kukuta sms ya tshs 50,.. Hivi hizi ni akili au matope?
 
Hahahah sikia, Usiogope kutoa TALAKA kwasababu ya kuanza kupigia hesabu ulichokitokea.

Wengi wenu mnaishia kujiua nakufa vifo visivyo venu sababu tu mlipoanza kufikiria muda na pesa ulizotumia unaona bora UKOMAE NAYE TU ATABADILIKA.

Sikia Bro....* KUANZA UPYA KAMWE SIO UJINGA*.

utakapoona mazingira hatarishi ambayo huenda yataleta kifo kiuchumi,kijamii,kinafsi toka mwanamke wao , MUACHE MARA MOJA...otherwise utajikuta unakufa wee au unamuua yeye.


Mengine madogo madogo sio yakumuacha Mke.
 
Pesa inatafutwa mzee...hiyo msg ya sh 50 ndio iliyomfanya avunje kiapo cha ndoa
 
Hivi mahali resonable price ni ipi wakuu? M mbili mi sitoi
 
Back
Top Bottom