Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Changamoto ya kutokuwa na hela, kila kitu utaona ni dhambi; kula mdudu utasema ni dhambi, kuonga ni dhambi, kula ndizi samaki ni dhambi, kuvaa nguo mpya ni dhambi, kwenda club ni dhambi, kunywa pombe ni dhambi n.k Kama ni dhambi fungeni viwanda vyote vya pombe.
 
Inaonekana wew huna akili unatumia pesa nyingi kisa uroda wa mwanamke malaya.? Ukikutana na pisi kali si utahonga mshahara wote...
We unashangaa hicho kidogo tu; watu wanatuma tiketi kwenda kula bata Marekani. Maisha ni haya haya, hakuna sayari nyingine utaenda kufurahia maisha.
 
Ni kweli ila namshauri atafute hela maana ata kwa ilo dau lake bado hafui dafu kwako Binti Maua[emoji4]
Mie huyu na mjua nilimuona Facebook kipindi nafanya kazi mahali huyo sio mtoto ni mtu makamu ila kipindi hicho alikuwa best yang sana .

Ila kujua Mimi ndio mwenye hii ID. Hajui alikuwa ametutengenezeaga website yetu ya kampuni haka kajamaa kanahela kalimzalisha best yetu na kweli alimpa kamaisha Fulani amazing hata wenye waume zao sio hivyoo sijampendaga Kwa sababu ya Tabia yake mbaya sana huyu .

Kama kala mahala Fulani basi anakimbia huko anaenda jengo lingine
 
Umetoka nje ya mada, mimi hata sizungumzii huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…