Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Kama ambavyo wewe unaweza ku afford hiyo 120k kwa papuchi ya malaya hata huyo anayetoa gari ya 40M anaweza kuzi afford kama hizo mara 10 yake.

Huwezi kuwa na akili timamu una Mil 50-100 halafu unaenda kuhonga malaya gari ya mil 40 lazima kuna namna ubongo wako ulichanganyika na kinyesi
Changamoto ya kutokuwa na hela, kila kitu utaona ni dhambi; kula mdudu utasema ni dhambi, kuonga ni dhambi, kula ndizi samaki ni dhambi, kuvaa nguo mpya ni dhambi, kwenda club ni dhambi, kunywa pombe ni dhambi n.k Kama ni dhambi fungeni viwanda vyote vya pombe.
 
Inaonekana wew huna akili unatumia pesa nyingi kisa uroda wa mwanamke malaya.? Ukikutana na pisi kali si utahonga mshahara wote...
We unashangaa hicho kidogo tu; watu wanatuma tiketi kwenda kula bata Marekani. Maisha ni haya haya, hakuna sayari nyingine utaenda kufurahia maisha.
 
Ni kweli ila namshauri atafute hela maana ata kwa ilo dau lake bado hafui dafu kwako Binti Maua[emoji4]
Mie huyu na mjua nilimuona Facebook kipindi nafanya kazi mahali huyo sio mtoto ni mtu makamu ila kipindi hicho alikuwa best yang sana .

Ila kujua Mimi ndio mwenye hii ID. Hajui alikuwa ametutengenezeaga website yetu ya kampuni haka kajamaa kanahela kalimzalisha best yetu na kweli alimpa kamaisha Fulani amazing hata wenye waume zao sio hivyoo sijampendaga Kwa sababu ya Tabia yake mbaya sana huyu .

Kama kala mahala Fulani basi anakimbia huko anaenda jengo lingine
 
Changamoto ya kutokuwa na hela, kila kitu utaona ni dhambi; kula mdudu utasema ni dhambi, kuonga ni dhambi, kula ndizi samaki ni dhambi, kuvaa nguo mpya ni dhambi, kwenda club ni dhambi, kunywa pombe ni dhambi n.k Kama ni dhambi fungeni viwanda vyote vya pombe.
Umetoka nje ya mada, mimi hata sizungumzii huko
 
Back
Top Bottom