Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Hoteli mtu anakuja moja kwa moja chumbani anagonga mlango, ni hoteli au guest hiyo.
Usiende tena hapo. Utakuja kuibiwa. Si sehemu tulivu.
 
Hoteli mtu anakuja moja kwa moja chumbani anagonga mlango, ni hoteli au guest hiyo.
Usiende tena hapo. Utakuja kuibiwa. Si sehemu tulivu.
Kamera zipo, pia badhi ya hotel hawataki kuingilia faragha za watu ili wasipoteze wateja
 
Mkuu hata serikali yetu haina maono hayo kama Taifa😂
Plan zangu/maono ni ya miaka 10 ijayo
Ukifikiri sana, unaweza usijenge hata kibanda cha kujistiri; kinachotufanya tuishi kwa furaha, kwa sababu tunajisahau na kuamini tutakuwepo miaka yote.
 
Back
Top Bottom