Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

Ya Geita siyo, ila hata mwarabu kule Tunisia tulihonga kweli kwa msako ule mkali.
Unaamisha goli hapa, point yetu na Azam ameamua na yeye aungane na wakongwe kununa mechi. Yale mambo ya kuwekeza katika benchi na vijana anatoka taratibu. Waamuzi hawahamui kwa akili zao tena
 
Makosa ya waamuzi hayajaanza leo! Msimu uliopita baadhi ya wadau wa michezo tulilalamika sana humu, lakini tulipuuzwa.

Kama vipi Serikali kwa kushirikiana na hao TFF na wenyewe walete VAR! Ahueni zinaweza kupunguza hizo penati za mchongo, lakini pia yale maamuzi yenye utata mwingi.


Kuwafungia tu waamuzi haisaidii. Maana hatujui kiasi wanachopewa na hao watoa rushwa. Usikute mwamuzi anapewa hela ambayo angeipata tu kwa kuchezesha mechi za msimi mzima mwenye ligi! Katika hali kama hiyo, mtu anaona bora achukue tu rushwa, na kupindisha matokeo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]penati ya jana khaaaa
 
Wewe utakuwa punguani wa karne kufananisha ligi za ulaya na hii takataka ya Tanzania
Hua nashangaa sana mtu anayesifia ligi za ulaya wakati hata huko marefa wanafanya madudu. Epl pep amekua akilalamika kila siku kuhusu waamuzi plus wanasaidiwa na VAR.

Pondea ligi ya bongo kwa vingine but kama hoja yako ni kuhusu marefa inakua daifu.

Byw Azam jana wamebebwa haukua penati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nashangaa Sana ninapowaona watu wamejazana kibanda umiza eti wanaangalia ligi ya bongo, Ni upotevu wa muda tu
nimemwagiza fundi nyumbani kwangu ang'oe dish na king'amuzi cha azam aache cha DSTV.. kiukweli ligi kuu Tanzania haina mvuto tena kwangu sijui kwa wengine huko hali ikoje but for me mpira wa Tanzania unaniboa na kunikera sana hasa nikitazama mechi zake .... TFF wajitafakari upya Ligi kuu inanuka rushwa, visa na ushirikina.
 
Back
Top Bottom