UmevurugwaNgada FC wote mhojiwe. Kuanzia viongozi mpaka mashabiki. Nilikua sielewi mbona hawa makolo tabia zao hazina tofauti na mateja. Kumbe ni Ngada ndio imewavuruga!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
sio hii angalia na Geita, Penati alipiga MorisonMechi ya Yanga Mwanza ilikuwa na shida gani, wenyeji walipewa tuta wakakosa, watu wengine jamani.
SureUwepo wa Simba na Yanga unasababisha mpira upoteze mvuto!!mashabiki waliopofushwa kwa ushabiki wa Simba na Yanga hawawezi kuliona hili.
Ya Geita siyo, ila hata mwarabu kule Tunisia tulihonga kweli kwa msako ule mkali.sio hii angalia na Geita, Penati alipiga Morison
Unaamisha goli hapa, point yetu na Azam ameamua na yeye aungane na wakongwe kununa mechi. Yale mambo ya kuwekeza katika benchi na vijana anatoka taratibu. Waamuzi hawahamui kwa akili zao tenaYa Geita siyo, ila hata mwarabu kule Tunisia tulihonga kweli kwa msako ule mkali.
Tupo pamoja na mimi aiseeNdo maana napendaga kuangalia highlights tuu, kutenga muda wako kufuatilia mpira wa bongo ni uzwazwa.
Acheni kununua na sie tutaacha otherwise tutawavuruga tunanunua Fei na chama waje kukaa tu benchiMpira unapoteza mvuto
Mara mia kuliko ya Yanga na Geita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]penati ya jana khaaaa
Acha mbwembwe na ww mandongaAcheni kununua na sie tutaacha otherwise tutawavuruga tunanunua Fei na chama waje kukaa tu benchi
Pesaa tunayo sio zenu za forbersAcha mbwembwe na ww mandonga
Hua nashangaa sana mtu anayesifia ligi za ulaya wakati hata huko marefa wanafanya madudu. Epl pep amekua akilalamika kila siku kuhusu waamuzi plus wanasaidiwa na VAR.
Pondea ligi ya bongo kwa vingine but kama hoja yako ni kuhusu marefa inakua daifu.
Byw Azam jana wamebebwa haukua penati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara mia kuliko ya Yanga na Geita
nimemwagiza fundi nyumbani kwangu ang'oe dish na king'amuzi cha azam aache cha DSTV.. kiukweli ligi kuu Tanzania haina mvuto tena kwangu sijui kwa wengine huko hali ikoje but for me mpira wa Tanzania unaniboa na kunikera sana hasa nikitazama mechi zake .... TFF wajitafakari upya Ligi kuu inanuka rushwa, visa na ushirikina.Huwa nashangaa Sana ninapowaona watu wamejazana kibanda umiza eti wanaangalia ligi ya bongo, Ni upotevu wa muda tu