chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
joseverest siku hizi mbona unasinzia sana?*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*
*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
mhh!*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*
*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
MTU yupo radhi akakope kwa riba huku mkewe ana zaidi ya laki nusu kwenye akiiba ake, afu bado unasema wanandoa ni mwili mmoja![emoji104]
hapo sasa ..hahaaaDemu anakukopa elf 10 baada ya wiki unampa laki kama mpenzi wako cha ajabu atakukumbusha na ile ten alokukopesha umrudishie.hii inaonesha wanavyotufanya mbuzi wa kafara
aiseee hiyo ndoa sinto iweza mkuu..bora niwe pekee huo siubinafsi sasaMTU yupo radhi akakope kwa riba huku mkewe ana zaidi ya laki nusu kwenye akiiba ake, afu bado unasema wanandoa ni mwili mmoja![emoji104]
Je ukiwa Mario wakitonga bado hesabu ni iyo iyo.*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*
*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Umeoa bossHahaaaa......jamani si muwambie wake zenu kwa uwazi sio kuja kulalamika JF?
Utaishi maisha ya shida mnooooJe ukiwa Mario wakitonga bado hesabu ni iyo iyo.
Haya! Mm siwezi kupambana Na wewe maana naona huna tofauti Na yule jamaa aliyeta Uzi humu ndani kuwa yy haoni sababu ya kuzaa Watoto kwa kigezo cha kuwa watamchelewesha kupambana Na maisha! Anataka atafute hela Na ainjoi pekee ake! So Na wewe hayo ni mawazo yako kuwa mwanaumme hana mamlaka Na fedha au Mali za mkewe!Mtoto wa kiume unaanza kupigia hesabu hela za mkeo, we pambana ndio maana ukaitwa kichwa cha nyumba.. Pambana tengeneza uchumi wa familia ili heshima iwepo duniani na wanao wakikua wakute pakuanzia na historia wakati wa mazishi yako iwe kubwa kidogo na mara moja moja ukiwa kaburini huku juu watu wakukumbuke kwa kutumia ulivyoviacha..