Wakubwa watanielewa tu

Wakubwa watanielewa tu

*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*

*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
joseverest siku hizi mbona unasinzia sana?
 
kabisaaa mkuu otherwise jipange kupewa hizo hela namkeo .lakini atakwambia kuwa amekukopesha ...naikitokea usipomlipa siku mkigombana jiandae kuambiwa. kuwa huna kitu nayye ndiye anayekulisha ...tena dunia yenyewe jinsi ilivyochafuka now days usije kushangaa Siku anapost mitandaoni mazungumzo yenu mliyokuwa mnaongea siku yakupeana hizo pesa
 
Demu anakukopa elf 10 baada ya wiki unampa laki kama mpenzi wako cha ajabu atakukumbusha na ile ten alokukopesha umrudishie.hii inaonesha wanavyotufanya mbuzi wa kafara
 
MTU yupo radhi akakope kwa riba huku mkewe ana zaidi ya laki nusu kwenye akiiba ake, afu bado unasema wanandoa ni mwili mmoja![emoji104]
 
duh ndoa za kiafrica ngumu sana...

hapo mama mkwe, na mashemeji pia hawajakuhemea uwasaidie

MTU yupo radhi akakope kwa riba huku mkewe ana zaidi ya laki nusu kwenye akiiba ake, afu bado unasema wanandoa ni mwili mmoja![emoji104]
 
Hahaaaa......jamani si muwambie wake zenu kwa uwazi sio kuja kulalamika JF?
 
Demu anakukopa elf 10 baada ya wiki unampa laki kama mpenzi wako cha ajabu atakukumbusha na ile ten alokukopesha umrudishie.hii inaonesha wanavyotufanya mbuzi wa kafara
hapo sasa ..hahaaa
kuna mmoja aliwahi kuja om kwangu kunitembelea wakati anaondoka nilimpa kama 70k..eti akaanza kuniambia nimrudishie hela ya nauli aliyolipia bajaj wakati wakuja...
nikamwambia Nina shida sana na Pesa naomba unirejeshee hizo nikuongezee..manina kwani alizirudisha ;;!!
 
*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*

*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Je ukiwa Mario wakitonga bado hesabu ni iyo iyo.
 
Mtoto wa kiume unaanza kupigia hesabu hela za mkeo, we pambana ndio maana ukaitwa kichwa cha nyumba.. Pambana tengeneza uchumi wa familia ili heshima iwepo duniani na wanao wakikua wakute pakuanzia na historia wakati wa mazishi yako iwe kubwa kidogo na mara moja moja ukiwa kaburini huku juu watu wakukumbuke kwa kutumia ulivyoviacha..
 
Haya! Mm siwezi kupambana Na wewe maana naona huna tofauti Na yule jamaa aliyeta Uzi humu ndani kuwa yy haoni sababu ya kuzaa Watoto kwa kigezo cha kuwa watamchelewesha kupambana Na maisha! Anataka atafute hela Na ainjoi pekee ake! So Na wewe hayo ni mawazo yako kuwa mwanaumme hana mamlaka Na fedha au Mali za mkewe!
 
Back
Top Bottom