Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Upuuz huo labda wewe na mkeo ndo mnaishi hivo, usiwaaminishe watu Upuuz huo*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*
*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nashangaaga watu kama martinsamson wanavyotoka mapovuUmeeleweka kwa heruki kubwa na nzito.
Duu povu tayari ... kama jukwaa limekushinda upitage tu!Upuuz huo labda wewe na mkeo ndo mnaishi hivo, usiwaaminishe watu Upuuz huo