Wakubwa watanielewa

Wakubwa watanielewa

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*

*Wakubwa wamenielewa*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Upuuz huo labda wewe na mkeo ndo mnaishi hivo, usiwaaminishe watu Upuuz huo
 
Back
Top Bottom