Qcartertz OD
Member
- Apr 21, 2013
- 11
- 3
Kaka zangu na dada zangu mdogo wenu nimechaguliwa kwiro boys PCM lakin hadi leo hii bado sijafahamu joining instruction za kwiro zinapatikana wapi.hivyo naomben msaada wenu mnijuze kama kuna mwalimu yeyote wa kwiro mnamfahamu au mwanafunzi wa kwiro mniunganishe nae wakubwa zangu.