Wakubwa zangu nisaidieni

Wakubwa zangu nisaidieni

Qcartertz OD

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
11
Reaction score
3
Kaka zangu na dada zangu mdogo wenu nimechaguliwa kwiro boys PCM lakin hadi leo hii bado sijafahamu joining instruction za kwiro zinapatikana wapi.hivyo naomben msaada wenu mnijuze kama kuna mwalimu yeyote wa kwiro mnamfahamu au mwanafunzi wa kwiro mniunganishe nae wakubwa zangu.
 
mtafute huyu jamaa 0788886135, alisomapo O level ,mi nimemalza nae A level anaweza kukusaidia namb za walimu wa pale... pole.
 
Obvious joining instructions zinapatikana kwenye shule husika
 
duh hakuna njia nyingine maana npo mbal xana na hyo shule

Sidhan kama kuna njia nyingine. Labda unaweza kuulizia kwa watu wanaofahamu ni nini kinahitajika huko ili uanze kujiandaa.
Nadhani unayafahamu mambo ya msingi - sare, godoro, suka, vyoimbo vya chakula, kupima afya na vitu kama hivyo. Jiandae pia na pesa za michango ya shule
 
Back
Top Bottom