Kaka zangu na dada zangu mdogo wenu nimechaguliwa kwiro boys PCM lakin hadi leo hii bado sijafahamu joining instruction za kwiro zinapatikana wapi.hivyo naomben msaada wenu mnijuze kama kuna mwalimu yeyote wa kwiro mnamfahamu au mwanafunzi wa kwiro mniunganishe nae wakubwa zangu.
Sidhan kama kuna njia nyingine. Labda unaweza kuulizia kwa watu wanaofahamu ni nini kinahitajika huko ili uanze kujiandaa.
Nadhani unayafahamu mambo ya msingi - sare, godoro, suka, vyoimbo vya chakula, kupima afya na vitu kama hivyo. Jiandae pia na pesa za michango ya shule