Wakudeka interteiment kuuziduliwa soon at muce...... Get ready guys......

Wakudeka interteiment kuuziduliwa soon at muce...... Get ready guys......

yamoyoni mwangu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
106
Reaction score
31
Oy wadau aje.....

kama kawaida yangu kuweka historia ya kuzindua kitu kipyaa kila ninakobahatika kusoma ili one day libaki kuwa boongeee la historia kwa madogo.... ndo kwanza nipo mwanzo wa safari.... naamini miaka mitatu nitakayo kuwa hapa watu waenjoy much.... nimejipanga kuanzisha kitu kipya ambacho hakijawahi ku happen pande hizi.... unajua nini tuliza mzuka wewe me ndo BABA LAO.....

we kama unakipaji iweje uishi kwa kutegemea boom....? njoo tutengeneze fursa tukamate mkwanja kiulaiini..., okey poa bas ngoja nikupe mchonge mzima ulivyo.... kama unaweza kuwa MC wa ukweli mchongo huu utakuhusu direct...., kama we ni dizainer wa nguo, mapambo, na makorokoro kibaoo mchongo huu pia utahusika mwana.... we kama ni rapper pia njoo tuweke historia.. kifupi we kama una kipaji jiandae mwana.....

Nipo kwenye makubaliano na mhe: waziri wa michezo na burudani....then after ntakuja na nini tufanye.... okey poa bhana koz naona lecture hiiyo imefika.... mida bac......
 
Ndo mlichoenda kufanya chuo hicho?!


Hizo hela za boom bora serikali ingejenga mahospitali na kununua Dawa
 
Back
Top Bottom