Wakufunzi wa St. John tumezidi kunyanyaswa

staffsjohn

New Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Watanzania!

Kumekuwa na unyanyasaji mkubwa wamalipo na stahiki halali za wakufunzi.Tumeajiriwa sisi ni mwaka wa sita leo, mshahara unachelewa, tunafundisha muda wa ziada hatulipwi mpaka miezi 4 au usilipwe kabisa.

Part time ndio balaa mpaka leo hawajalipwa hela ya semester iliyopita, leo ni miezi 9 sasa, na hii ya sasa tuko wiki karibu ya 11 hakuna hata mia wamepewa.

Chuo hiki kweli nichadini, wananyanyasa watu sana, mtu amefundisha kweli 9 month anadai hawalipi, bado watawakata 30% wanadai kodi, yani mmekaa na haki ya myu miezi 9 na bado mnawakata na pia haipelekwi huko TRA maana hii sio PAYE, hii ni dhambi na uovu mkubwa.Mbona wanafunzi wakichelewa kulipa ADA MNAWALIPISHA FAINI 50000, 10000 BILA HURUMA. Hivi mna Mungu kweli, mpaka sasa mshahara hawajalipa na memo imetoka hawatalipa sijui mpaka lini.

Unategememea elimu iwe bora, ndio maana inaporomoka kila siku maana walimu hawana moyo wakufundisha na wanahama kila siku.

Walimu waliobaki hakuna mwenye moyo wa kufundisha, hali ni mbaya.

Baba Askofu Chimeledia, Kanisa linadhalilishwa kupitia chuo hiki, Mungu anatukanwa kwa kuonea viumbe vyake, walipeni watu stahiki yao, mpaka wanaanza kutuchukia sisi tuliowaleta kufundisha.

Waziri wa ELIMU, WAZIRI WA UTUMISHI, WAZIRI WA UTAWALA BORA, MKUU WA MKOA WA DODOMA, WAZAZI NA WANAFUNZI, CHUO BILA WALIMU KULIPWA STAHIKI ZAO KWA WAKATI NA BORA HAKUNA ELIMU HAPO.

Tunafundisha sana na hatulipwi ndio maana maendeleo hakuna,

Tunawaomba mfuatilie swala hili na kuhakikisha walimu tulioajiriwa tunalipwa mishahara na haki zetu zote ikiwepo pesa ya kusahihisha mitihani, kusimamia etc. Na hawa ndugu zetu wa part time walipwe yote 100% bila kukatwa maana aubu lazima muwe nayo miezi 9 hujamlipa mtu unategemea nini na amefundisha, matokeo yametoka.Mnataka wakatae kuleta matokeo kama hawa wetu wa FAHE ndio mjue kuwa wanataka pesa yao halali.

Mnachelewesha halafu mnakuja kudai attendence ili msiwalipe peas zao zote, huu ni uonevu na dhambi kubwa.

Tena huyu mhasibu asiye kuwa na CPA ni tatizo kubwa katika chuo, hajali walimu, hawasikilizi shida zao, hatimizi ahadi.

Walimu wanadaiwa kodi akiomba advice House allowance hapewi mpaka afukuzwe kwenye nyumba, walimu wa St. John tuna maisha duni.

Wazazi jitokezeni kukemea uovu huu, msiwe sehemu ya dhambi hii, msiposimama, watoto wenu ndio wanaopata bora elimu, ndio maana walimu wanahama na wanafnzi wakimaliza diploma hawarudi kwa sababu ya uongozi dhaifu usiojali watoa taaluma.

Tumechoka na kudharauliwa, kutojaliwa na mwajiri.Kama Mungu yupo na kanisa linayajua haya na kukaa kimya kudulumu haki ya watu, watoto wao wanateseka, familia pia , Mungu atawaadhibu.

Tutaandika mengi ili kukisaidia chuo maana ndani tumesema tumeshindwa. Ukidai haki yako utatafutiwa sababu mpaka uondolewe au ushushwe cheo.

Kama chuo hakitendi haki ndio maana laana, mabalaaa na maendeleo hakuna kwa sababu viumbe vya Mungu mnavinyanyasa na kuviumiza kimaisha.

Hakuna quality assuarance kama hamlipi, hamjali watoa taaluma, watu wanaajiriwa bial vigezo , mtu amaendesha idara asiyokuwa na utaalamu nayo, itafanikiwa vipi.

Mnajali adinistration staff wachache, tena wanalipwa kuliko wakufunzi, hii mmewahi kuiona chuo gani?

Serekali saidieni tulipwe, kama chuo na taasisi ya dini hailipi watu mishahara, ujira wa part time haujalipwa miezi 9 na ninyi mmekaa kimya, je mtu binafsi itakuwa,wanatania ndio maana wamekuwa watumwa kwenye nchi yao.
 
piga kazi mkuu si uliomba kazi mwenyewe kwa hiari..ukiona vipi acha kazi uone kazi kupata kazi.
 
Fuata masharti ya mkataba ulioiingia na mwajiri wako, pamoja na labour law; pia ujue kuna mahakama ya kazi.
 
Mkuu mbna unaandika kama unaogopa vile? Jitokeze hadharani udai chako, mmezidi kuwanyanyasa wanafunzi ngoja muipate joto ya jiwe
 
Tumepanga kufuatilia mwenendo wa huyu mwalimu.....anayeharibu sifa ya chuo kilichotukuka!
 
Kumbe ndo mana mnawakamata sana madent sup af mnachukua rushwa ya kuwa clear?
 
Tumepanga kufuatilia mwenendo wa huyu mwalimu.....anayeharibu sifa ya chuo kilichotukuka!

Hili sio swala la kutishana, penye ukweli ni vizuri muwe na haki ,madai hayo yamesikiwa siku nyingi sana na walimu wengine ni jamaa zetu wametuthibitishia. Kwa kweli mnaharibu sifa ya chuo, maana jina la st.john lilitukuka kweli kama usemavyo lakini kumbuka utukufu sharti ulindwe pia, udumishwe na uongezwe. Sasa tumechoka kuyasikia hayo, ni wakati umefika hiyomdnejment iondolewe, ndio maana st.Augustine wanasimamia mapadre na masister wenyewe, sijui kwanini Anglican hawataki kufanya hivyo, sidhani kama hawana watumishi wenye sifa mpaka waajiri management za ajabu ajabu, saa nyingine mtu ni muislamu kabisa eti anakuwepo kwenye top management ya chuo cha KiKristo! Wafungueni macho hawa jamani!
 
piga kazi mkuu si uliomba kazi mwenyewe kwa hiari..ukiona vipi acha kazi uone kazi kupata kazi.

Tamaa ya hela nyingi ilimpeleka huko sasa analia tatizo vijana Wengi Wa siku hizi wanapenda maendeleo ya haraka sana hayo yote ni kupenda pesa nyng kwa mda mfup sasa km mtu hujalipwa miez 9 anafanya nn si akakae kwao
 
Watanzania!

Kumekuwa na unyanyasaji mkubwa wamalipo na stahiki halali za wakufunzi.Tumeajiriwa sisi ni mwaka wa sita leo, mshahara unachelewa, tunafundisha muda wa ziada hatulipwi mpaka miezi 4 au usilipwe kabisa.

Part time ndio balaa mpaka leo hawajalipwa hela ya semester iliyopita, leo ni miezi 9 sasa, na hii ya sasa tuko wiki karibu ya 11 hakuna hata mia wamepewa.

Chuo hiki kweli nichadini, wananyanyasa watu sana, mtu amefundisha kweli 9 month anadai hawalipi, bado watawakata 30% wanadai kodi, yani mmekaa na haki ya myu miezi 9 na bado mnawakata na pia haipelekwi huko TRA maana hii sio PAYE, hii ni dhambi na uovu mkubwa.Mbona wanafunzi wakichelewa kulipa ADA MNAWALIPISHA FAINI 50000, 10000 BILA HURUMA. Hivi mna Mungu kweli, mpaka sasa mshahara hawajalipa na memo imetoka hawatalipa sijui mpaka lini.

Unategememea elimu iwe bora, ndio maana inaporomoka kila siku maana walimu hawana moyo wakufundisha na wanahama kila siku.

Walimu waliobaki hakuna mwenye moyo wa kufundisha, hali ni mbaya.

Baba Askofu Chimeledia, Kanisa linadhalilishwa kupitia chuo hiki, Mungu anatukanwa kwa kuonea viumbe vyake, walipeni watu stahiki yao, mpaka wanaanza kutuchukia sisi tuliowaleta kufundisha.

Waziri wa ELIMU, WAZIRI WA UTUMISHI, WAZIRI WA UTAWALA BORA, MKUU WA MKOA WA DODOMA, WAZAZI NA WANAFUNZI, CHUO BILA WALIMU KULIPWA STAHIKI ZAO KWA WAKATI NA BORA HAKUNA ELIMU HAPO.

Tunafundisha sana na hatulipwi ndio maana maendeleo hakuna,

Tunawaomba mfuatilie swala hili na kuhakikisha walimu tulioajiriwa tunalipwa mishahara na haki zetu zote ikiwepo pesa ya kusahihisha mitihani, kusimamia etc. Na hawa ndugu zetu wa part time walipwe yote 100% bila kukatwa maana aubu lazima muwe nayo miezi 9 hujamlipa mtu unategemea nini na amefundisha, matokeo yametoka.Mnataka wakatae kuleta matokeo kama hawa wetu wa FAHE ndio mjue kuwa wanataka pesa yao halali.

Mnachelewesha halafu mnakuja kudai attendence ili msiwalipe peas zao zote, huu ni uonevu na dhambi kubwa.

Tena huyu mhasibu asiye kuwa na CPA ni tatizo kubwa katika chuo, hajali walimu, hawasikilizi shida zao, hatimizi ahadi.

Walimu wanadaiwa kodi akiomba advice House allowance hapewi mpaka afukuzwe kwenye nyumba, walimu wa St. John tuna maisha duni.

Wazazi jitokezeni kukemea uovu huu, msiwe sehemu ya dhambi hii, msiposimama, watoto wenu ndio wanaopata bora elimu, ndio maana walimu wanahama na wanafnzi wakimaliza diploma hawarudi kwa sababu ya uongozi dhaifu usiojali watoa taaluma.

Tumechoka na kudharauliwa, kutojaliwa na mwajiri.Kama Mungu yupo na kanisa linayajua haya na kukaa kimya kudulumu haki ya watu, watoto wao wanateseka, familia pia , Mungu atawaadhibu.

Tutaandika mengi ili kukisaidia chuo maana ndani tumesema tumeshindwa. Ukidai haki yako utatafutiwa sababu mpaka uondolewe au ushushwe cheo.

Kama chuo hakitendi haki ndio maana laana, mabalaaa na maendeleo hakuna kwa sababu viumbe vya Mungu mnavinyanyasa na kuviumiza kimaisha.

Hakuna quality assuarance kama hamlipi, hamjali watoa taaluma, watu wanaajiriwa bial vigezo , mtu amaendesha idara asiyokuwa na utaalamu nayo, itafanikiwa vipi.

Mnajali adinistration staff wachache, tena wanalipwa kuliko wakufunzi, hii mmewahi kuiona chuo gani?

Serekali saidieni tulipwe, kama chuo na taasisi ya dini hailipi watu mishahara, ujira wa part time haujalipwa miezi 9 na ninyi mmekaa kimya, je mtu binafsi itakuwa,wanatania ndio maana wamekuwa watumwa kwenye nchi yao.
Kumbe ndio maana Graduate wao vilazaaa......wanapataga GPA za 4.8 mtu anasoma BAF uyo mpaka unajiuliza anapataje,ukimpeleka NBAA akafanye CPA hachomoi wala Public Finance and Taxation asa apo mna kazi kweli......Karibuni IFM,TIA,IFM,UDSM kwa elimu bora vijana
 
Ukija we wa IFM sijui UDSM una GPA ya 3.
Wa st john ana GPA 4.8.
Namchukua wa st john..!!!
 
IFM ? TIA ??? Eeeeh!
 
Hili sio swala la kutishana, penye ukweli ni vizuri muwe na haki ,madai hayo yamesikiwa siku nyingi sana na walimu wengine ni jamaa zetu wametuthibitishia. Kwa kweli mnaharibu sifa ya chuo, maana jina la st.john lilitukuka kweli kama usemavyo lakini kumbuka utukufu sharti ulindwe pia, udumishwe na uongezwe. Sasa tumechoka kuyasikia hayo, ni wakati umefika hiyomdnejment iondolewe, ndio maana st.Augustine wanasimamia mapadre na masister wenyewe, sijui kwanini Anglican hawataki kufanya hivyo, sidhani kama hawana watumishi wenye sifa mpaka waajiri management za ajabu ajabu, saa nyingine mtu ni muislamu kabisa eti anakuwepo kwenye top management ya chuo cha KiKristo! Wafungueni macho hawa jamani!
ni kweli hiki chuo kina shida saana na walimu wengi wmeaacha kazi kama vile dr s.kipanga
 
Ukija we wa IFM sijui UDSM una GPA ya 3.
Wa st john ana GPA 4.8.
Namchukua wa st john..!!!
Wanakua na 4.8 afu board hawachomoi hata somo moja ndo nin sasa?rafik angu Humphrey kamaliza St John BAF tangu 2011 mi niko first yr akaanza Board tena wakat wao ilikua masomo matatu matatu kila module ila hakuwah kuchomoa hata somo moja,mi nimemaliza mwaka jana tu ila yote nimegonga nasubir kugraduate mwez wa lkumi yeye bado anafanya tu hadi leo na ajarecord hata somo moja,ana ana 1st class ya St John,mi na GPA yangu ya kawaida tu saiz hawez kuakaa meza moja na mim mi nina namba ya Mhasibu mkuu,sasa kaa uchelewe na ilo GPA lakoo la BAF wakat hata CPA hauna si tutakuona ndorobooooooooo tuuu
 
Watanzania!

Kumekuwa na unyanyasaji mkubwa wamalipo na stahiki halali za wakufunzi.Tumeajiriwa sisi ni mwaka wa sita leo, mshahara unachelewa, tunafundisha muda wa ziada hatulipwi mpaka miezi 4 au usilipwe kabisa.

Part time ndio balaa mpaka leo hawajalipwa hela ya semester iliyopita, leo ni miezi 9 sasa, na hii ya sasa tuko wiki karibu ya 11 hakuna hata mia wamepewa.

Chuo hiki kweli nichadini, wananyanyasa watu sana, mtu amefundisha kweli 9 month anadai hawalipi, bado watawakata 30% wanadai kodi, yani mmekaa na haki ya myu miezi 9 na bado mnawakata na pia haipelekwi huko TRA maana hii sio PAYE, hii ni dhambi na uovu mkubwa.Mbona wanafunzi wakichelewa kulipa ADA MNAWALIPISHA FAINI 50000, 10000 BILA HURUMA. Hivi mna Mungu kweli, mpaka sasa mshahara hawajalipa na memo imetoka hawatalipa sijui mpaka lini.

Unategememea elimu iwe bora, ndio maana inaporomoka kila siku maana walimu hawana moyo wakufundisha na wanahama kila siku.

Walimu waliobaki hakuna mwenye moyo wa kufundisha, hali ni mbaya.

Baba Askofu Chimeledia, Kanisa linadhalilishwa kupitia chuo hiki, Mungu anatukanwa kwa kuonea viumbe vyake, walipeni watu stahiki yao, mpaka wanaanza kutuchukia sisi tuliowaleta kufundisha.

Waziri wa ELIMU, WAZIRI WA UTUMISHI, WAZIRI WA UTAWALA BORA, MKUU WA MKOA WA DODOMA, WAZAZI NA WANAFUNZI, CHUO BILA WALIMU KULIPWA STAHIKI ZAO KWA WAKATI NA BORA HAKUNA ELIMU HAPO.

Tunafundisha sana na hatulipwi ndio maana maendeleo hakuna,

Tunawaomba mfuatilie swala hili na kuhakikisha walimu tulioajiriwa tunalipwa mishahara na haki zetu zote ikiwepo pesa ya kusahihisha mitihani, kusimamia etc. Na hawa ndugu zetu wa part time walipwe yote 100% bila kukatwa maana aubu lazima muwe nayo miezi 9 hujamlipa mtu unategemea nini na amefundisha, matokeo yametoka.Mnataka wakatae kuleta matokeo kama hawa wetu wa FAHE ndio mjue kuwa wanataka pesa yao halali.

Mnachelewesha halafu mnakuja kudai attendence ili msiwalipe peas zao zote, huu ni uonevu na dhambi kubwa.

Tena huyu mhasibu asiye kuwa na CPA ni tatizo kubwa katika chuo, hajali walimu, hawasikilizi shida zao, hatimizi ahadi.

Walimu wanadaiwa kodi akiomba advice House allowance hapewi mpaka afukuzwe kwenye nyumba, walimu wa St. John tuna maisha duni.

Wazazi jitokezeni kukemea uovu huu, msiwe sehemu ya dhambi hii, msiposimama, watoto wenu ndio wanaopata bora elimu, ndio maana walimu wanahama na wanafnzi wakimaliza diploma hawarudi kwa sababu ya uongozi dhaifu usiojali watoa taaluma.

Tumechoka na kudharauliwa, kutojaliwa na mwajiri.Kama Mungu yupo na kanisa linayajua haya na kukaa kimya kudulumu haki ya watu, watoto wao wanateseka, familia pia , Mungu atawaadhibu.

Tutaandika mengi ili kukisaidia chuo maana ndani tumesema tumeshindwa. Ukidai haki yako utatafutiwa sababu mpaka uondolewe au ushushwe cheo.

Kama chuo hakitendi haki ndio maana laana, mabalaaa na maendeleo hakuna kwa sababu viumbe vya Mungu mnavinyanyasa na kuviumiza kimaisha.

Hakuna quality assuarance kama hamlipi, hamjali watoa taaluma, watu wanaajiriwa bial vigezo , mtu amaendesha idara asiyokuwa na utaalamu nayo, itafanikiwa vipi.

Mnajali adinistration staff wachache, tena wanalipwa kuliko wakufunzi, hii mmewahi kuiona chuo gani?

Serekali saidieni tulipwe, kama chuo na taasisi ya dini hailipi watu mishahara, ujira wa part time haujalipwa miezi 9 na ninyi mmekaa kimya, je mtu binafsi itakuwa,wanatania ndio maana wamekuwa watumwa kwenye nchi yao.

Hee maisha duni unayajua wew watu wanafundisha maporin huko kigoma na awalakamiki nyambafuu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
endeleeni tu kukomaa si mnataka private pesa nyingi. gov kiasi lakin 24
 
Hiko chuo kimejaa wahindi, na bado mtachomwa kama mahindi.
 
Mkufunzi umetiririka balaaaa,ngoja niongee na papa fransis wa Vatican awaamrishe uongozi wa chuo kuwalipa stahili zenu
 
Back
Top Bottom