Wakufunzi wa St. John tumezidi kunyanyaswa

Wakufunzi wa St. John tumezidi kunyanyaswa

Wanakua na 4.8 afu board hawachomoi hata somo moja ndo nin sasa?rafik angu Humphrey kamaliza St John BAF tangu 2011 mi niko first yr akaanza Board tena wakat wao ilikua masomo matatu matatu kila module ila hakuwah kuchomoa hata somo moja,mi nimemaliza mwaka jana tu ila yote nimegonga nasubir kugraduate mwez wa lkumi yeye bado anafanya tu hadi leo na ajarecord hata somo moja,ana ana 1st class ya St John,mi na GPA yangu ya kawaida tu saiz hawez kuakaa meza moja na mim mi nina namba ya Mhasibu mkuu,sasa kaa uchelewe na ilo GPA lakoo la BAF wakat hata CPA hauna si tutakuona ndorobooooooooo tuuu

Ndoroooooobo mwenyewe
 
Tumepanga kufuatilia mwenendo wa huyu mwalimu.....anayeharibu sifa ya chuo kilichotukuka!

Allen Mtitimila a.k.a "mtoto wa mwenye chuo". Kilaza wa mzumbe aliyepewa cheo cha Ulecturer + head of.........+ "Mwanasheria" wa Chuo, ama kweli,Watoto wa wenye majina yaliyo top ktk kanisa la Anglikana TZ wanaiangamiza SJUT
 
Allen Mtitimila a.k.a "mtoto wa mwenye chuo". Kilaza wa mzumbe aliyepewa cheo cha Ulecturer + head of.........+ "Mwanasheria" wa Chuo, ama kweli,Watoto wa wenye majina yaliyo top ktk kanisa la Anglikana TZ wanaiangamiza SJUT

We Must be Careful when we are using our fingers!
 
Sasa ndo napata picha kwanini ile department hamkawii kuomba Rushwa na vijisenti visivyo halali kwa wanafunzi. Muwabane mnaowadai, wahurumieni watoto Wa maskini wasome kwa amani, wabaneni waajiri wenu.
 
Kutengeneza kitu bora ni gharama lakini ni sawa na kuchimba kisima kirefu kupita tabaka za miamba,ukishachimba kama ni maji au ni mafuta au ni gesi itatoka milele mara nyingi sana ya gharama yako uliyotumia, ila unahitaji kuweka mbali tamaa inayopufusha ili uweze kuona fursa kama hizo, vinginevyo utawekeza kwenye miradi ya kawaida inayoishi na kufa muda wowote! Wakufunzi na menejiment ya St.John's wamekubali kupofushwa na tamaa, kupata magari na majumba na utajiri mwingine bila kuhakikisha kwanza chuo chaokinachotoa huo utajiri kimesimama imara kwenye soko la elimu ya juu! Naamini elimu ni bidhaa isiyochuja once ukiitengeneza institution yako vizuri utauza elimu milele na milele, it really pays ! Sasa hawa vijana wadogo wadogo wanamawazo ya kitoto sana, kuwaza magari na kujilimbikizia utajiri kabla ya kuimarisha chuo, hicho chuo ni so young, kimeanza 2000's, so young to be left in hands of extravagant greedy youth without serious management on top!
 
We Must be Careful when we are using our fingers!

Acha kutisha watu we popoma, nani hakujui ubini wa avatar yako ni mwana wa mfalme ktk top magmnt ya Anglikana TZ; watishie wanafunzi wako popoma mkubwa ww kijana wa MTITIMILA
 
'''''A child can Play with his Mother's Breast But not his Father's Testicles!'''' Nakuomba usitaje taje majina ya Watu ambao hata huwajui
 
Back
Top Bottom