Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Dar es Salaam na miji mingi sasa hivi bidhaa za mbogamboga na viungo kama karoti, nyanya, vitunguu, hoho, biringanya, bamia, viazi, ndizi na matunda bei ni ziko juu sana. Bei za nafaka kama unga na mihogo bado ziko chini kama miaka yote.
Wakulima waache kung'ang'ania kulima mahindi, mchele na mihogo ambavyo vinaendelea kuwabakisha masikini badala yake walime mbogamboga, matunda kama matango na viungo kama vitunguu saumu, haya ndio mazao yanayozidi kuwa na bei nzuri kila siku na ambayo hayana siasa za serikali kuleta usumbufu kwa wa wakulima.