Inawezekana kufanya yote ila shida ni maji tu. Kilimo chetu mpaka sasa kinategemea mvua.Wakulima wote/wengi wakilima mboga na matunda lazima mahindi na nafaka zongine zitapanda bei na matunda na mboga zitadorora. Na zitawaozea tofauti na mahindi yanatunzika.
Ni rahisi/ngumu pia kilimo chochote ni target ukiingia kwenye field utaelewa.Dar es Salaam na miji mingi sasa hivi bidhaa za mbogamboga na viungo kama karoti, nyanya, vitunguu, hoho, biringanya, bamia, viazi, ndizi na matunda bei ni ziko juu sana. Bei za nafaka kama unga na mihogo bado ziko chini kama miaka yote.
Wakulima waache kung'ang'ania kulima mahindi, mchele na mihogo ambavyo vinaendelea kuwabakisha masikini badala yake walime mbogamboga, matunda kama matango na viungo kama vitunguu saumu, haya ndio mazao yanayozidi kuwa na bei nzuri kila siku na ambayo hayana siasa za serikali kuleta usumbufu kwa wa wakulima.
Dar es Salaam na miji mingi sasa hivi bidhaa za mbogamboga na viungo kama karoti, nyanya, vitunguu, hoho, biringanya, bamia, viazi, ndizi na matunda bei ni ziko juu sana. Bei za nafaka kama unga na mihogo bado ziko chini kama miaka yote.
Wakulima waache kung'ang'ania kulima mahindi, mchele na mihogo ambavyo vinaendelea kuwabakisha masikini badala yake walime mbogamboga, matunda kama matango na viungo kama vitunguu saumu, haya ndio mazao yanayozidi kuwa na bei nzuri kila siku na ambayo hayana siasa za serikali kuleta usumbufu kwa wa wakulima.
Maji sio mchawiMchawi maji.
Mkuu ni raw material siyo law material.Mihogo ni law material siyo kwa matumizi ya chakula tu.
Inawezekana ila dunia imebadilika kuna vifaa vya kuhifadhi ubaridi(Cold room)Tatizo ni perishable goods
Kama hukunielewa nilimaanisha tatizo/kikwazo ni maji.Maji sio mchawi
Maji ni Uhai
Kipenzi chetu HussainMkuu ni raw material siyo law material.