Wakulima Brussels wafanya maandamano kwa Matrekta, EU yaahirisha makubaliano

Wakulima Brussels wafanya maandamano kwa Matrekta, EU yaahirisha makubaliano

Nimeona wakulima huko Ufaransa wamemwaga viazi ,ulaya mbolea na macabbage mbele ya nyumba ya Macron.Hakuna hata mkulima mmoja alieuawa kwenye maandamano.
447e04bc-b61c-4e6a-b097-40439b43624c.jpg
447e04bc-b61c-4e6a-b097-40439b43624c.jpg
ee66f6a_upload-1-1xwhb50blu7o-afp-20251219-88mk7t3-v1-highres-francepoliticsagricultureprotest.jpg
447e04bc-b61c-4e6a-b097-40439b43624c.jpg
ee66f6a_upload-1-1xwhb50blu7o-afp-20251219-88mk7t3-v1-highres-francepoliticsagricultureprotest.jpg
x240.jpeg
images (9).jpeg
 
Kwanini na hayo ya Oct29 yasingepewa ulinzi? Yakapita barabarani yakafikisha ujumbe wao.??!
wale walianza kuchoma kila kitu, waliiba kwa watu binafsi na walikuwa hawana muda maalum wala route ilikuwa ukikaa dk 2 tu wameshapita na maduka kadhaa dk 2 wameshapiga kiberiti gesti ya mtu dk 2 wameshavamia jengo flani wameiba kisha wanachoma , Yale yalikuwa majambazi, maharamia, majangili , mashenzi, majibwa mabaya kabisa kuwahi kutokea toka uhuru waliopona sijui kwa nini hawamaliziwi kwa moto wa gesi au tuwachemshe kwenye boilers za TBL
 
Wanahubiria wengine free trade ila wakiona wako kwenye disadvantage hawaitaki kabisa.
 
Back
Top Bottom