Nimeona wakulima huko Ufaransa wamemwaga viazi ,ulaya mbolea na macabbage mbele ya nyumba ya Macron.Hakuna hata mkulima mmoja alieuawa kwenye maandamano.
wale walianza kuchoma kila kitu, waliiba kwa watu binafsi na walikuwa hawana muda maalum wala route ilikuwa ukikaa dk 2 tu wameshapita na maduka kadhaa dk 2 wameshapiga kiberiti gesti ya mtu dk 2 wameshavamia jengo flani wameiba kisha wanachoma , Yale yalikuwa majambazi, maharamia, majangili , mashenzi, majibwa mabaya kabisa kuwahi kutokea toka uhuru waliopona sijui kwa nini hawamaliziwi kwa moto wa gesi au tuwachemshe kwenye boilers za TBL