KERO Wakulima huku newala mkoani Mtwara tunapitia hali ngumu kwenye kugaiwa pembejeo za kilimo hasa salfa ya unga

KERO Wakulima huku newala mkoani Mtwara tunapitia hali ngumu kwenye kugaiwa pembejeo za kilimo hasa salfa ya unga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

TRAO

New Member
Joined
Apr 22, 2026
Posts
1
Reaction score
4
Inafika wakati salfa inakuja chache watu hulatimika kulala kwenye maghala kugaiwa salfa wakifika maafisa ugani asubuhi wanawapa watu wachache kisa wanasema mtandao unasumbua basi maghala hufungwa na ikifika asubuhi ule mzigo ulobaki unahama na wanasema pembejeo zimeisha je huwa zinaenda wapi hali ya kuwa zinakuja kwa ajili yetu na pia tunakatwa kwenye mavuno ya korosho??

Wakati mwingine watu wa serikalini hurundika makwao na kutuuzia kwa elfu 50 ha di 60 kwa mfuko
 
Poleni sana. Mmejaribu kulifikisha ngazi ya wilaya au mkoa?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hatimae watu wa newala tumepata msemaji, hili liwafikie wahusika...
 
Back
Top Bottom