Wakulima Jiandaeni Kisaikolojia na Kuporomoka Kwa Bei ya Mahindi Mwaka huu 2023, Kenya Gunia la Mahindi Imeshuka hadi Tsh. 80,000

Acha upuuzi,uruhusu mchele wa Nje Ili kumkomoa nani na kumdaidia nani?
Sasa wananchi tunaumia na ndio wateja wa hizo bidhaa ina maana wewe unafurahia huu mfumuko wa bei za nafaka?

Hata hivyo serikali wameshatoa vibali vya kuagiza wafanyabiashara kuingiza mchele kutoka nje.
 
Kunawnasiasa walijipatia Umaarufu kutokana kupanda Kwa Bei ya mahindi,ikawa kama vile Kuna kitu Serikali imefanya. Sasa yakishuka sijui watasemaje!?😁
 
Sahihi
 
Jamaa ni zaidi ya popoma,alikua anapinga mawazo ya watu humu kuhusu serikali kuleta mchele wa nje,baada ya serikali kuruhusu mchele kutoka usishangae huyu huyu aliekua anapinga akapongeza uamuzi wa serikali
 
Acha watu wapate chakula kwa bei wanayoimudu bwana, hivi unafurahia kusikia watu wakifa kwa njaa na ukame hapa duniani? Kumbuka nao wanazo family na wategemezi Kama ilivyo kwa wengine.
 
Kuhusu mazao kukosa bei huyu jamaa anaota ndoto ya mchana, maeneo mengi mwaka huu ukame umeharibu mazao sasa sijui huyu anakaa nchi ipi maana hata angekuwa anakaa mjini angeona hali halisi ya hewa
 
Hakuna kujiandaa
Kilimo ni biashara
Hakiendi kwa amri
Bei ya mahindi inaendeshwa na kanuni ya "demand and supply" bei ya mahindi haindeshwi na kenya wala Zambia
 
mahindi huku yapo mengi "Ruvuma" cha ajabu bei ni 700-780 (haijawahi tokea toka nimezaliwa) mahindi yataadimika sana safari hii kwa hii bei msiponunua mahindi hadi kwa 1500 kilo mwakani mwezi wa 1 nimekaa pale
 
Bei Haina hata dalili ya Kushuka
 
Mtabiri wa kushuka Kwa bei ya mahindi unasikilizia baridi ukiwa gholofa ya ngapi maana bei aishikiki na mahindi bado yapo mashambani.
 
mahindi huku yapo mengi "Ruvuma" cha ajabu bei ni 700-780 (haijawahi tokea toka nimezaliwa) mahindi yataadimika sana safari hii kwa hii bei msiponunua mahindi hadi kwa 1500 kilo mwakani mwezi wa 1 nimekaa pale
Tutaagiza Mexico au Tutaanza kula mikate
 
Kwa mwaka mzima mtu 1 kama unakula ugali tu asubuhi na jion inakubidi uwe na kilo 300 ndani za mahindi so ukizidisha na familia uliyonayo nyumbani Kwako utaelewa inakubidi uwe na Tani ngapi za mahindi kwenye ghala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…