Habari zenu
Mimi ni msichana na Mkulima mchanga nipo Mkoa wa Kilimanjaro. Ni mwaka wa pili sasa tangu nimeanza kilimo. Naomba mniunganishe la group la wakulima wenzangu kutoka Kilimanjaro au Arusha kwa ajili ya kubadilishana uzoefu. Kushare Masoko na hata ikiwezekana kufanya projects pamoja.
Kilimanjaro ni muajiriwa na taasis ya Serikali na Ninaishi Bomang'ombe Wilaya ya Hai
Naombeni Msaada wadau
Ahsante!