Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

rosita

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
509
Reaction score
469
Habari zenu

Mimi ni msichana na Mkulima mchanga nipo Mkoa wa Kilimanjaro. Ni mwaka wa pili sasa tangu nimeanza kilimo. Naomba mniunganishe la group la wakulima wenzangu kutoka Kilimanjaro au Arusha kwa ajili ya kubadilishana uzoefu. Kushare Masoko na hata ikiwezekana kufanya projects pamoja.

Kilimanjaro ni muajiriwa na taasis ya Serikali na Ninaishi Bomang'ombe Wilaya ya Hai

Naombeni Msaada wadau

Ahsante!
 
Good hustler lady. Keep Ya head Up.

Siku nikivisit Ara nitakuja shambani kwako kupata uzoefu.

-Kaveli-
 
Wakulima wote kimanjaro &Arusha mni pm ni admin, tunalo group dogo limetokana na group kubwa la wakulima aliloanzisha seth wa insta Ali maarufu kama bikira wa kisukuma
 
Tafadhali naomba mniunge na mimi niko Arusha natengemea na mimi kuanza kilimo cha vitunguu no. 0763777190
 
marwarwa, rosita,


Fuatilia jarida la Mkulima Mbunifu linalotoka kila mwezi utapata faarifa nyingi tuu za kilimo. Vile vile kuna maonyesho ya kilimo Kikatiti tarehe 27 hadi 29 Oktoba
 
Unajishughulisha na kilimo gani mamaangu rosita?
 
Mm nanunua vitunguu kutoka shambani na kuja kuuza kariakoo na Tegeta sokoni. Tutafutane
 
Back
Top Bottom