Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
Vinu vya kukoboa
Karibuni sanaTakutafuta
Mnatengeneza na mashine za kukamua alizeti?Karibuni sana
Ndio naweza kukutengenezea ndugu itategemea unahitaji cold press au hot pressMnatengeneza na mashine za kukamua alizeti?
Cold press bei gan na hot press bei ganNdio naweza kukutengenezea ndugu itategemea unahitaji cold press au hot press
Cold press namaanisha haiwekewi heater
Na
Hot press ina heater final product yake ni mafuta safi yasiyo na harufu
Lakini cold itakubidi uyachemshe kwenye mapipa kabla ya packaging
Maelezo zaidi sms/whatsapp 0774150519
Karibu ndugu yangu nitafute 0774150519 whatsapp tuangalie vifaa vyake vinavyohitajika
Ninahitaji inayotengeneza matofali madogo size ya yake ya kuchoma.Ujenzi unahitaji kujipanga kama upo eneo lenye upatikanaji wa mchanga kiurahisi okoa gharama za ujenzi kwa kumiliki mashine yako mwenyewe jitengenezee tofali zako mwenyewe.
Mashine ya tofali za mkono tu inatosha kwa laki nne na nusu tu unaimiliki lolote 0774150519 whatssap au 0763542515 sms.
View attachment 1768347
Bei hutegemea mkuu materials zimepanda sana kuanzia mwezi december sasa kukupa fixed ni uongo pia sijajua unataka ikamue kiasi gani labda nieleze kiwango chako kwa saaCold press bei gan na hot press bei gan
Hiyo inawezekana karibu sana ndugu size kama ipi apaNinahitaji inayotengeneza matofali madogo size ya yake ya kuchoma.
Mkuu kimya...?Nataka mashine ya hizi tofali... interlocking...inauzwaje?please nipe majibuView attachment 1769130
Pole sana mkuu kama hujapata jibu interlocking ni laki nane boss wangu