INAUZWA Wakulima: mnaweza kumiliki Mashine za kusaga na kukoboa

INAUZWA Wakulima: mnaweza kumiliki Mashine za kusaga na kukoboa

Kijana Mpole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
235
Reaction score
212
Wakulima ili kujiongezea kipato chako katika kile unachokizalisha miliki mashine yako ya kusaga na kukoboa. Uweze kupack unga wako hakika utafurahia kile unachokilima na utawakomboa wengi wanaokuzunguka. Hilo linawezekana karibu nikutengenezee mashine yako kwa gharama nafuu sana.

Kuanzia million mbili na laki sita unapata mashine ya kusaga na kukoboa million mbili na laki tano tu. Hapo zikiwa na mota zake lolote nitafute 0774150519 au 0763542515 napokea maswali na ushauri nipo Dar es Salaam.
 
Mashine.

tapatalk_1587714899170.jpg
 
Ujenzi unahitaji kujipanga kama upo eneo lenye upatikanaji wa mchanga kiurahisi okoa gharama za ujenzi kwa kumiliki mashine yako mwenyewe jitengenezee tofali zako mwenyewe.

Mashine ya tofali za mkono tu inatosha kwa laki nne na nusu tu unaimiliki lolote 0774150519 whatssap au 0763542515 sms.​

tapatalk_1608189476396.jpg
 
Mnatengeneza na mashine za kukamua alizeti?
Ndio naweza kukutengenezea ndugu itategemea unahitaji cold press au hot press

Cold press namaanisha haiwekewi heater
Na
Hot press ina heater final product yake ni mafuta safi yasiyo na harufu

Lakini cold itakubidi uyachemshe kwenye mapipa kabla ya packaging

Maelezo zaidi sms/whatsapp 0774150519
 
Cold press bei gan na hot press bei gan
 
Ujenzi unahitaji kujipanga kama upo eneo lenye upatikanaji wa mchanga kiurahisi okoa gharama za ujenzi kwa kumiliki mashine yako mwenyewe jitengenezee tofali zako mwenyewe.

Mashine ya tofali za mkono tu inatosha kwa laki nne na nusu tu unaimiliki lolote 0774150519 whatssap au 0763542515 sms.​

View attachment 1768347
Ninahitaji inayotengeneza matofali madogo size ya yake ya kuchoma.
 
Cold press bei gan na hot press bei gan
Bei hutegemea mkuu materials zimepanda sana kuanzia mwezi december sasa kukupa fixed ni uongo pia sijajua unataka ikamue kiasi gani labda nieleze kiwango chako kwa saa

Cold press makadirio kwa mashine ya kg 3000 mpaka 4000 kwa saa million tisa mpaka kumi

Ila hot press na ikiwekewa tank zake na heater kwa kiwango hicho hicho inafika mpaka milllion 19
Lolote karibu tuzungumze kiundani 0774150519sms/whatsapp
 
Nataka mashine ya hizi tofali... interlocking...inauzwaje?please nipe majibu
images.jpg
 
Back
Top Bottom