Wakulima mnazidi kumiminiwa neema na Rais Samia, sasa Mfuko wa Kukabiliana na Kuporomoka kwa bei kuanzishwa

Wakulima mnazidi kumiminiwa neema na Rais Samia, sasa Mfuko wa Kukabiliana na Kuporomoka kwa bei kuanzishwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tukiendelea hivi basi rasmi nitaingia kwenye Kilimo na Vijana wengi pia wataingia kwenye Kilimo..

Hii ni aina nyingine ya bima ya mazao yetu..

Hongera sana Rais Samia,2025 kura zote za Wakulima utazoa ushindwe na Kwa kuziweka.
 
Attachments

  • Screenshot_20230530-231809_Chrome.jpg
    Screenshot_20230530-231809_Chrome.jpg
    213.6 KB · Views: 12
Back
Top Bottom