Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Hakuna lolote. Bei ya Pamba badala ya kuongezeka imeshuka kwa tofauti ya sh 500 kutoka mwaka jana, serikali wala haijali chochote kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Serikali ndio inanunua pamba? Pakistan wameshazalisha pamba ya kutosha so komaeni..Hakuna lolote. Bei ya Pamba badala ya kuongezeka imeshuka kwa tofauti ya sh 500 kutoka mwaka jana, serikali wala haijali chochote kabisa
Ubabaishaji na huo mfuko ni wa kupiga pesa.
Bahati nzuri waropokaji sio wakulima so hamna impacts mtaishia kujisemesha hivi hivi ila wakulima halisi na wapiga kura wanafurahia maisha huku,nyie kamchagueni Lisu atawaletea pesa 👇Hamna kitu huyo mamako, nchi inajiendea tu.
Bora hata yule roporopo aliyetangulia.
Bahati nzuri waropokaji sio wakulima so hamna impacts mtaishia kujisemesha hivi hivi ila wakulima halisi na wapiga kura wanafurahia maisha huku,nyie kamchagueni Lisu atawaletea pesa 👇
Hili anguko Sasa ndio tunalipenda maana mafuta yalipokuwa bei Juu mlikuwa mnapiga makele sana..Hawa wakulima wenu wa kwenye picha na online hakuna lolote .
Hali halisi ya wakulima wengi siyo nzuri mfano; Alizeti inanunuliwa kwa mkulima sh 500 kwa kilo, wakati mwaka jana imenunuliwa sh 1200 anguko la zaidi ya asilimia 50 unategemea mkulima anayezalisha alizeti singida anaishije?!!!
Wakulima wanafurahia Kilimo Sasa hivi kuanzia bei ya mazao Hadi mitaji Kwa njia ya mikopo eg NMB pale riba ya mkopo wa kilimo.ni 9% kutoka 15% na mda wa marejesho unakubaliana mwenyewe na Bank na ndio maana mikopo inayoongoza Kwa Sasa ni ya KilimoNdio mkulima tena wa mpunga na ngano na alizet mkuuu
Bahati nzuri waropokaji sio wakulima so hamna impacts mtaishia kujisemesha hivi hivi ila wakulima halisi na wapiga kura wanafurahia maisha huku,nyie kamchagueni Lisu atawaletea pesa 👇
Ndio mkombozi wenu aliyeahidiwa kuwaletea maisha Bora 😁😁😁Lissu kaingiaje hapa we paka?
We boya sipangiwi maisha Wala hunilishi..ChoiceVariable inawezekana wewe ni chawa wa karibu sana wa serikali ya mafisadi Tanzania.
Kama unajitambua achana na kusifusifu vitu vya ajabu kwani havina maana.
Mkombozi wetu wakina nani?Ndio mkombozi wenu aliyeahidiwa kuwaletea maisha Bora 😁😁😁
Mkuu kukopa benki kwa AJILI ya kilimo masharti ni yaoi na taratibu ni zipi?Wakulima wanafurahia Kilimo Sasa hivi kuanzia bei ya mazao Hadi mitaji Kwa njia ya mikopo eg NMB pale riba ya mkopo wa kilimo.ni 9% kutoka 15% na mda wa marejesho unakubaliana mwenyewe na Bank na ndio maana mikopo inayoongoza Kwa Sasa ni ya Kilimo
Nenda bank broo utaelekezwa ila kikubwa Mali isiyohamishika yaani nyumba au kiwanjaMkuu kukopa benki kwa AJILI ya kilimo masharti ni yaoi na taratibu ni zipi?
Hizo habari za kuwa Lisu na Mbowe ni mkombozi wangu nani? Tukikwita kenge tutakuwa tunakosea!?Wewe hapo na mkombozi wenu Lisu na Mbowe
Kenge weweHizo habari za kuwa Lisu na Mbowe ni mkombozi wangu nani? Tukikwita kenge tutakuwa tunakosea!?