ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Uko sawa huko upstair ?Haina haja
Wakulima Msipotoka Kimaisha awamu ya Samia mjue ndio basi tena uzuri mnawajua wale wengineHii ni hatua nzuri kwa kuzingatia ule msemo wa kilimo ni uti wa Mgongo..
Kwani hii ni biashara?Serikali haipaswi kufanya biashara
Wabafanya biashara hadi kuexportKwani hii ni biashara?
Kwani hii ni biashara?
Debe tupu yye asipokuwa mwnamke tajiri AFRICA MSIMU HUUU ATAJIRAUMU MWENYEWEWakulima Msipotoka Kimaisha awamu ya Samia mjue ndio basi tena uzuri mnawajua wale wengine
Debe tupu ndio nani? Wewe ni mkulima?Debe tupu yye asipokuwa mwnamke tajiri AFRICA MSIMU HUUU ATAJIRAUMU MWENYEWE
Ndio mkulima tena wa mpunga na ngano na alizet mkuuuDebe tupu ndio nani? Wewe ni mkulima?
Debe tupu ni nani?Ndio mkulima tena wa mpunga na ngano na alizet mkuuu