Wakulima nchini Ugiriki wanaandamana baada ya kucheleweshwa kwa fedha za kilimo

Wakulima nchini Ugiriki wanaandamana baada ya kucheleweshwa kwa fedha za kilimo

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Wakulima wenye hasira nchini Ugiriki wanaandamana kutokana na kucheleweshwa kwa fedha za kilimo. Wamepeleka maelfu ya matrekta na malori barabarani, wakizuia barabara kuu katika maeneo mbalimbali na kusababisha usumbufu mkubwa wa usafiri.


===========For English Audience==============
​
Angry farmers in Greece are protesting over delayed agricultural funds. They have deployed thousands of tractors and trucks in dozens of blockades which have disrupted traffic along major motorways.

SOURCE: DW NEWS​
 
Ingekua Tanganyika kiongozi wao angetekwa na mwili wake usipatikane
 
Hawachoma moto Mali yeyote Wala kufanya wizi
 
Back
Top Bottom