Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Waandamane kuipongeza maana imefanya jambo jema kuwarudishia korosho zaoWasalaam, baada ya takribani miezi3 tangu serikali ikusanye korosho za wakulima kwa nia ya kuzinunua hatimae serikali hiyo imewarudishia wakulima korosho hizo kwa madai hazina ubora. Kutokana na kitendo hicho kunatetesi kwamba wakulima hao wamepanga kuandamana kuunga mkono juhudi, pia kushukuru kwa kurudishiwa korosho ambazo hazina ubora.
Ikumbukwe wakati korosho hizi zinakusanywa wakulima hawa waliandamana kuunga mkono juhudi za rais kuwaondolea umasikini kwa kununua korosho hizo kwa bei nzuri , hivyo wanaomba na safari hii waruhusiwe kuandamana km ilivyokua awali kushukuru kwa mzigo kurudi maana wengi wao walijua wameshadhulumiwa mzigo baada ya kusubiri malipo kwa takribani miezi3.
Muziki wa awamu hii wataucheza tu. Midundo yake si ya kawaida.Wasalaam, baada ya takribani miezi3 tangu serikali ikusanye korosho za wakulima kwa nia ya kuzinunua hatimae serikali hiyo imewarudishia wakulima korosho hizo kwa madai hazina ubora. Kutokana na kitendo hicho kunatetesi kwamba wakulima hao wamepanga kuandamana kuunga mkono juhudi, pia kushukuru kwa kurudishiwa korosho ambazo hazina ubora.
Ikumbukwe wakati korosho hizi zinakusanywa wakulima hawa waliandamana kuunga mkono juhudi za rais kuwaondolea umasikini kwa kununua korosho hizo kwa bei nzuri , hivyo wanaomba na safari hii waruhusiwe kuandamana km ilivyokua awali kushukuru kwa mzigo kurudi maana wengi wao walijua wameshadhulumiwa mzigo baada ya kusubiri malipo kwa takribani miezi3.
Kumkabidhi mungu? inamaana watasoma albadiriMmmhhhhhh. hapa kuna lao jambo.......yaani naona kama vile wanamkabidhi Mwenyezimungu kilio chao.
Ili tusiingie kwenye dhambi ya dhulumati,mimi napendelea walipwe pesa zao ingawa itakuwa ni hasara kwa serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watakuwa mazezeta kabisa, yaan mtu akunyang'anye baada ya mazingira kumbana arejeshe alafu uandamane kumpongeza aisee