Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
sioni tatizo kabisa kama wauzaji wanaelewa kuwa walikuwa wamewashikisha wajeda korosho ambazo hazina ubora swali ni kuwa kama hizo korosho hazina ubora wanarudishiwa wazipeleke wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba kwani hujaona ile tafiti flani inasema"asilimia 85 ya Watanzania IQ zetu ni below Avarage". Hawa ndo wana prove na nahisi sample space ilikua huko[emoji16]... kama hii habari ni ya kweli then automatically itakuwa imekuwa proved, beyond reasonable doubts, kwamba eneo/ukanda huu wa dunia ndilo eneo lenye binadamu wajinga kuliko eneo lingine lolote duniani.
Scientific researches have to be conducted to prove the reasons for that behavior; is it a genetic issue? harmful materials (in the land? air? waters? grains? foods?); or what?
Afadhali zimerudi kuliko kutaifishwa kabisa bila malipo. Angalau wanaweza kuuza mtaani kwa mafungu.
Zimeshaharibika baada ya kunyeshewa mvua. Labda za mbegu tu.Afadhali zimerudi kuliko kutaifishwa kabisa bila malipo. Angalau wanaweza kuuza mtaani kwa mafungu.
Mkuu soma between linesHao watakuwa mazezeta kabisa, yaan mtu akunyang'anye baada ya mazingira kumbana arejeshe alafu uandamane kumpongeza aisee
Jiwe ana roho mbaya sana. Anaona zinamwozea anaamua kurudisha. Kusini sijui walimnyima nini jiwe.
Nimeshaelewa mkuu
Mkuu Tanzania inaweza kuwa inaongoza duniani Kwa idadi kubwa ya wajinga na washamba.Du, hii imekaa vizuri sana.Chakubanga ndiye atapokea maandamano yao hapa anachukua zoezi la kupokea maandamano.
View attachment 1028291
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Chinga vipi tena? Siku serikali ikichukua tena korosho kwa ahadi hewa, mtaandamana kuipongeza au vipi?Wasalaam, baada ya takribani miezi3 tangu serikali ikusanye korosho za wakulima kwa nia ya kuzinunua hatimae serikali hiyo imewarudishia wakulima korosho hizo kwa madai hazina ubora. Kutokana na kitendo hicho kunatetesi kwamba wakulima hao wamepanga kuandamana kuunga mkono juhudi, pia kushukuru kwa kurudishiwa korosho ambazo hazina ubora.
Ikumbukwe wakati korosho hizi zinakusanywa wakulima hawa waliandamana kuunga mkono juhudi za rais kuwaondolea umasikini kwa kununua korosho hizo kwa bei nzuri , hivyo wanaomba na safari hii waruhusiwe kuandamana km ilivyokua awali kushukuru kwa mzigo kurudi maana wengi wao walijua wameshadhulumiwa mzigo baada ya kusubiri malipo kwa takribani miezi3.
Mbona walichoma moto na shamba la zitto, itakuwaje
haya maajabuWasalaam, baada ya takribani miezi3 tangu serikali ikusanye korosho za wakulima kwa nia ya kuzinunua hatimae serikali hiyo imewarudishia wakulima korosho hizo kwa madai hazina ubora. Kutokana na kitendo hicho kunatetesi kwamba wakulima hao wamepanga kuandamana kuunga mkono juhudi, pia kushukuru kwa kurudishiwa korosho ambazo hazina ubora.
Ikumbukwe wakati korosho hizi zinakusanywa wakulima hawa waliandamana kuunga mkono juhudi za rais kuwaondolea umasikini kwa kununua korosho hizo kwa bei nzuri , hivyo wanaomba na safari hii waruhusiwe kuandamana km ilivyokua awali kushukuru kwa mzigo kurudi maana wengi wao walijua wameshadhulumiwa mzigo baada ya kusubiri malipo kwa takribani miezi3.
Umefikira vema mkuu, ni swali zuri cjui km Luna majibu yakesioni tatizo kabisa kama wauzaji wanaelewa kuwa walikuwa wamewashikisha wajeda korosho ambazo hazina ubora swali ni kuwa kama hizo korosho hazina ubora wanarudishiwa wazipeleke wapi
Kuna machine mkuu
Kikokotoo + vitambulisho machinga