Tetesi: Wakulima Tandahimba kuandamana kupongeza kurudishiwa korosho zao

May be land allienation.
 
Kwa hiyo baada ya kurudishiwa korosho zao wataruhusiwa kuwauzia "kangomba" au serikali imewaandalia mpango mwingine wa mauzo ya korosho hizo?
 
Ha haaaaaaaa hahaaaaa

Intelejensia itawakataa kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuhu hata mawakili wanakufa njaa wakati kuna kesi kibao za kununua na ushindi 100% unaonekana. I wish ningekuwa mwanasheria au wakili. Ningenunu kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du, hii imekaa vizuri sana.Chakubanga ndiye atapokea maandamano yao hapa anachukua zoezi la kupokea maandamano.


View attachment Polepole Dance Moves.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haa upumbafuu unawezekana udàñganyikani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuhu hata mawakili wanakufa njaa wakati kuna kesi kibao za kununua na ushindi 100% unaonekana. I wish ningekuwa mwanasheria au wakili. Ningenunu kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lakini jamaa wa serikari wazushi nao mara tu watakwita kangomba wa haki unachukua kesi huna ata korosho, unasubiri malipo yao.
 
Umeandika vizur Subira the princess nadhani katika hilo serikali haitawazuia. Nao nmefurahi jinsi ambavyo wanaonesha kuwa sambamba na serikali yao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…